Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Mara nywiiii!!! Chuma 3 yanga kashinda, sijui mtanena kwa lugha????? Maana kusema kawaida hamtawezaTutasema baadae, kaa kwa kutuliaa weyee 😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nywiiii!!! Chuma 3 yanga kashinda, sijui mtanena kwa lugha????? Maana kusema kawaida hamtawezaTutasema baadae, kaa kwa kutuliaa weyee 😂😂😂😂
Namba yake ya simu ni hii 0682022727. Mpigie umwambie hayaKatuchambisha la Kwanza na ilikuwa kidogo tena atuchambishe na la Pili sema Babu nae alikuwa anajitahidi Kutuokoa.
Mwambieni Inonga kuwa nina Taarifa za ndani kuwa anataka kuondoka Simba SC kwa Kuzuga anaenda Ulaya kisha baadae anahamia kwa Wanaoenda Kumnyoosha vilivyo Mamelodi Sundowns FC leo Usiku.
Hivyo basi asitukomeshe sana na kwa Makusudi kutuharibia ( kutuchambisha ) kama alivyotufanyia leo.
Wewe ndio mjinga unataka watu waishi unavyo taka weweJapo siyo mshabiki wa mambo ya mipira ila jana nilikaa mazingira na jamaa wawili watatu kwa ajili ya kubadilishana mambo kadhaa nilishangaa mno goli linafungwa watu walishangilia kama waarabu yani kwa huo ujinga, umasikini na maradhi hamponi.
Uwezo wa Simba ni robo fainali tu hakuna kingine, hii mijadala mingine ni blaa blaaa tu.Katuchambisha la Kwanza na ilikuwa kidogo tena atuchambishe na la Pili sema Babu nae alikuwa anajitahidi Kutuokoa.
Mwambieni Inonga kuwa nina Taarifa za ndani kuwa anataka kuondoka Simba SC kwa Kuzuga anaenda Ulaya kisha baadae anahamia kwa Wanaoenda Kumnyoosha vilivyo Mamelodi Sundowns FC leo Usiku.
Hivyo basi asitukomeshe sana na kwa Makusudi kutuharibia ( kutuchambisha ) kama alivyotufanyia leo.
Umekariri, jamaa anamisifa ya kijinga.Kwenye hii ligi yenu hakuna beki anayemzidi uwezo Inonga
Tatizo la Simba ni Internal problem.Katuchambisha la Kwanza na ilikuwa kidogo tena atuchambishe na la Pili sema Babu nae alikuwa anajitahidi Kutuokoa.
Mwambieni Inonga kuwa nina Taarifa za ndani kuwa anataka kuondoka Simba SC kwa Kuzuga anaenda Ulaya kisha baadae anahamia kwa Wanaoenda Kumnyoosha vilivyo Mamelodi Sundowns FC leo Usiku.
Hivyo basi asitukomeshe sana na kwa Makusudi kutuharibia ( kutuchambisha ) kama alivyotufanyia leo.
Kwa hilo acha nibaki na huo ujinga na nitawaona wapumbavu mkiwa mnalalamika ooh CAG sijui PCCB mtulize ...Wewe ndio mjinga unataka watu waishi unavyo taka wewe
nahisi yuko injury,lakini pia alikuwa analalamikia wenzie sanaKatuchambisha la Kwanza na ilikuwa kidogo tena atuchambishe na la Pili sema Babu nae alikuwa anajitahidi Kutuokoa.
Mwambieni Inonga kuwa nina Taarifa za ndani kuwa anataka kuondoka Simba SC kwa Kuzuga anaenda Ulaya kisha baadae anahamia kwa Wanaoenda Kumnyoosha vilivyo Mamelodi Sundowns FC leo Usiku.
Hivyo basi asitukomeshe sana na kwa Makusudi kutuharibia ( kutuchambisha ) kama alivyotufanyia leo.
Uwezo wa niniKwenye hii ligi yenu hakuna beki anayemzidi uwezo Inonga