Totally Henock Inonga jana alikuwa Out of Form nani ananibishia hili?

Namba yake ya simu ni hii 0682022727. Mpigie umwambie haya
 
Japo siyo mshabiki wa mambo ya mipira ila jana nilikaa mazingira na jamaa wawili watatu kwa ajili ya kubadilishana mambo kadhaa nilishangaa mno goli linafungwa watu walishangilia kama waarabu yani kwa huo ujinga, umasikini na maradhi hamponi.
Wewe ndio mjinga unataka watu waishi unavyo taka wewe
 
Uwezo wa Simba ni robo fainali tu hakuna kingine, hii mijadala mingine ni blaa blaaa tu.
 
Kwenye hii ligi yenu hakuna beki anayemzidi uwezo Inonga
 
Kwenye hii ligi yenu hakuna beki anayemzidi uwezo Inonga
Umekariri, jamaa anamisifa ya kijinga.
Akicheza fyongo mwenyewe analalamika,
Akitoa pasi mkaa analalamika,
Refa akipuliza filimbi analalamika,
Akipigwa chenga analalamika,
Mwenzake akikosea analalamika
Kiufupi kila kitu analalamika.
 
Tatizo la Simba ni Internal problem.
Mangungu aliwekwa pale kisiasa ili aendelee ku trend mpaka 2025 aje kugombea ubunge. Lakini ndani ya simba wanamwonesha kuwa yeye si lolote si chochote. Simba haitachukua kombe lolote mpaka mangungu anaondoka.
 
Umeshasahau kwamba ulishasema humkubali baba ESTA kuzungumza kabla ya mechi ,mosi

Pili, unaona Bado kunaumuhimu wakuendelea kumwamini kibu d kwenye mechi za MAAMUZi
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji867][emoji867][emoji867]
 
nahisi yuko injury,lakini pia alikuwa analalamikia wenzie sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…