kuliko wa kulia bora wa kushoto, huyo wa kushoto leo afadhali cku zile walimkandika mavipodozi ya ajabu ajabu akawa kitoko full... nyongeza ! kama hapo kuna mkali aisee na mie nitakuwa mkali.

Aisee nimeipenda hii sread
yaani mashori wa ukweli (JF) vs mashori wa picha.
First five posts zimetumwa na mashori wetu hapa jukwaani. walah nawapenda ingawa mna vitambi