Toto la kisukuma wallah

Toto la kisukuma wallah

Ha haaaa! Ngojani furahi.

Akiwakilisha tu naukana uraia wangu, Nitaomba uraia hata Darfur. Mama weeeeeeeeeeeeeeeee!!!

Habari ndo iyo binti wa Kinyarwanda naenda kuwatoa kimasomaso:first::first::first::first:
 
mie hapa niwe kama shekhe Yahya hatufiki hata kwenye TOP50
 
selo pia kulimpenda

Bahati mbaya tu ni kale ka-boyfriend ka mamissTZ Victor(alikuwa na Nasreem akahamia kwa Miriam sijui sasa atahamia kwa Genevieve?) ndio alieanzisha ugomvi nakuvunja vitu vya watu baada ya kuitwa mwanaume kama binti.
 
Wanawake bana!! Ombeaneni mema kwa angalau siku moja tu!!!

Ok ok lakini mlachake unaangalia na hali halisi iliyopo.
Kama Lundenga angekuwa anatupa vitu vya uhakika hatuna tatizo lakini choice zake sijui huwa anazitoa wapi na ndio maana tukifika kwenye miss world hatuonekani .
uwe na weekend njema
 
Nipondeni tu. lakini ushindi nitapata
 
.....
IMG_0714.JPG

Mimi napenda kifua kiwe na matiti ya kuzewa kujaza mkono wangu nikishika, soooo hapa namwona si kitu
 
Back
Top Bottom