Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,803
- 1,601
Ha haaaa! Ngojani furahi.
Akiwakilisha tu naukana uraia wangu, Nitaomba uraia hata Darfur. Mama weeeeeeeeeeeeeeeee!!!
kumbe hata mi mkali
Mi naungana na 'nambapleti' katika miss Tanzania wa miaka yote namkubali sana huyu Miriam ni 1.mrembo natural, 2.picha zinampenda, 3.anapoongea ni mtaratibu.
mie hapa niwe kama shekhe Yahya hatufiki hata kwenye TOP50
mie hapa niwe kama shekhe Yahya hatufiki hata kwenye TOP50
selo pia kulimpenda
Wanawake bana!! Ombeaneni mema kwa angalau siku moja tu!!!
mi nimeoneshwa eti tumejitahidi kuishia top 99.
Ok ok lakini mlachake unaangalia na hali halisi iliyopo.
Kama Lundenga angekuwa anatupa vitu vya uhakika hatuna tatizo lakini choice zake sijui huwa anazitoa wapi na ndio maana tukifika kwenye miss world hatuonekani .
uwe na weekend njema
:smash: will it happen akiwa top 3?
.....
Mimi napenda kifua kiwe na matiti ya kuzewa kujaza mkono wangu nikishika, soooo hapa namwona si kitu