Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Ndiyo.Unataka Watanganyika milioni 60 waishi kwa maumivu ili wewe na wenzako muendelee kubebwa?
Aje tumpe buyu la asali na pande la keki.Ameamua kuokoka taratibu anajitoa kwa shetani anamkimbilia Mungu wake, ule uchafu anajaribu kutujuza jinsi Gani alishiriki na waliobaki wanaendelea kushiriki uchafu ule
Nimekumbuka MSEMO mmoja wa watasha unasema ONCE A SPY.... Ponjoroooo malizia..Wengine sisi CCM ndiyo imetubeba mpaka kufikia hapa. Ukitoa siri nyeti utaamsha walio lala na kutukatia mirija ya riziki zetu na watoto wetu.
Tafadhali sana ndugu yangu, njoo tuzungumze unachotaka naamini ccm chini ya mama yetu kipenzi itakupatia ili tule wote. Mambo mengine achana nayo wewe tulia tufaidi keki hii, acha kuamsha watu.
Namaliza kwa kusema kuwa October tunatiki bila kusahau msimamo wetu ni No reforms no Election.
Msoga atasema “ni upepo tu utapita”.Polepole kapiga kwenye mshono
Bahati nzuri kipindi hiki wanatajana wenyeweMsoga atasema “ni upepo tu utapita”.
Hahahaha,sawa sawaMsoga atasema “ni upepo tu utapita”.
Huko tunakokwenda hata kusema wewe metals famila fulani itakua aibu.Bahati nzuri kipindi hiki wanatajana wenyewe
Nani afe?Ili POLEPOLE anyamaze milele mpeni kifo
Anazungumza kwa kejeli au satire umuelewe Ponjoro wa Kinondoni ni mtu safiNdiyo.
CCM ni wataalamu wa kushupaza shingo a.k.a kujizima data yaani kuahirisha kufikiri kwa nafsi tuseme kuahirisha kufikiri kizalendoWengine sisi CCM ndiyo imetubeba mpaka kufikia hapa. Ukitoa siri nyeti utaamsha walio lala na kutukatia mirija ya riziki zetu na watoto wetu.
Tafadhali sana ndugu yangu, njoo tuzungumze unachotaka naamini ccm chini ya mama yetu kipenzi itakupatia ili tule wote. Mambo mengine achana nayo wewe tulia tufaidi keki hii, acha kuamsha watu.
Namaliza kwa kusema kuwa October tunatiki bila kusahau msimamo wetu ni No reforms no Election.
Islamu swaafi akikosa chakula,wallah nguruwe si kharamu.Piga sunna sheikh utambae.Usisahau kutubu.Fuatisha maneno ya Napenga Nnauye kutubu baada ya kuiba kura.Wakuu CCM siipendi ila Kuna viji tenda wananipaga hasa kipindi hili Cha Uchaguzi, tenda za t-shirt,kofia Kwa wabunge na madiwani
Sasa kichwa kinauma NRNE nataka, lakini pia nataka tenda zao, mpk sasa Nina ya madiwani wawili na subiri jina la mbunge mmoja lirudi tupige KAZI
Aje tuyajenge.Polepole kapiga kwenye mshono
R.i.p alfonce mawazoNani afe?