Atulie tumpe kitengo pale BOTPolepole anaupiga mwingi anatokea pembeni na katikati hashikiki kama col Palmer wa the blues😀
Umemsikiliza jana? Kabla ya ubalozi aliulizwa anataka nafasi gani ndio atulie au ubalozi nchi gani, aachane na shule yake ya uongozi.Atulie tumpe kitengo pale BOT
Eatu wanashindwa kuelewa kwamba ukishakuwa na hela unaanza kutafuta happiness maeneo mengine....Umemsikiliza jana? Kabla ya ubalozi aliulizwa anataka nafasi gani ndio atulie au ubalozi nchi gani, aachane na shule yake ya uongozi.
Polepole yeye akawaambia ubunge unamtosha hana shida na fursa nyingine.
Jamaa wakalazamisha na ubalozi, kuna asali huko ya maisha mazuri acha tu.
Unfortunately sio kila mtu duniani happiness yake ni luxury lifestyle au kuwa na hela nyingi.