Umemsikiliza jana? Kabla ya ubalozi aliulizwa anataka nafasi gani ndio atulie au ubalozi nchi gani, aachane na shule yake ya uongozi.
Polepole yeye akawaambia ubunge unamtosha hana shida na fursa nyingine.
Jamaa wakalazamisha na ubalozi, kuna asali huko ya maisha mazuri acha tu.
Unfortunately sio kila mtu duniani happiness yake ni luxury lifestyle au kuwa na hela nyingi.