ProfessorReyes
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 382
- 465
- Thread starter
- #41
Mafans wengi wa team famous (liver, man u, arsenal na hizo nyingine) wanashabikia tu sio real fans[emoji1]Watu huwa zinagongana ananishangaa nikisema mimi ni shabiki wa damu kabisa wa Hotspur [emoji91]
Lazima walete maneno wakiona kuna fans wa Spurs au Newcastle. Me sinaga time nao nafanya yangu *To dare is to do