Tottenham Hotspur F.C. | Spurs | Special Thread

Watu huwa zinagongana ananishangaa nikisema mimi ni shabiki wa damu kabisa wa Hotspur [emoji91]
Mafans wengi wa team famous (liver, man u, arsenal na hizo nyingine) wanashabikia tu sio real fans[emoji1]
Lazima walete maneno wakiona kuna fans wa Spurs au Newcastle. Me sinaga time nao nafanya yangu *To dare is to do
 
Serious inabidi niache sas kujitolea maelezo
 
hii jezi ni balaaa
 
Attachments

  • 20240705_104710.jpg
    20240705_104710.jpg
    455.3 KB · Views: 5
Back
Top Bottom