Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Furaha yako itakamilika mwishoni mwa msimu. Pale Mourinho atakapokuwa na kikombe (Europa/EFL). Wewe utakuwa na modern football aka attacking football but trophyless.
Trophies huenda na historia na utamaduni pia. Hii timu haina historia wala utamaduni huo, inabidi kutengeneza mazingira hayo kwanza ndiyo muanze kuwaza trophies.
 
Ivi mpira wa kisasa upoje tuelewashane kwanza hapo?
Afu timu ngapi zinacheza mpira wa kisasa zitaje?
Bro ukiuliza hayo maswali hujibiwi, unaambiwa tu wewe ni mtetezi wa Mourinho. Kuna watangazaji na mapundit uchwara wa Bein Sports USA walijichanganya siku ile wako na Jose studio, wakamwambia habari za modern football. Kawauliza "What is modern football?". Ilikuwa aibu, hawajui hata wanaongelea nini. Ikabidi wazuge tu walete maada nyingine.

Ukiacha Mourinho, Ancelotti, Moyes, na Big Sam, hakuna kocha mwingine pale epl anayeweza kumaliza msimu nje ya relegation zone na hii Spurs ya sasa. Pochetino alikaribia kuishusha daraja ikabidi atoswe. Levy akimfukuza Mourinho nitaacha rasmi kumpa heshima ninayompa kama success genius.
 
Watani mna hali ngumu kiukweli. Kinachoniuma ni kwamba sioni timu ikijiandaa
Honestly hali yetu siyo nzuri ila kwa kuzingatia tulichonacho (kikosi) tumejitahidi sana.

Central defense kwa mfano: Dier, Toby, D Sanchez, Joe Rodon! Hapo kila unapopata clean sheet inakubidi kushukuru.
 
Timu inaweza kua ya kawaida ila ikiwa na spirit kubwa inakua bonge la chama. Spurs ya Redknapp ilikua hivi.

Unakuta kikosi on paper kinakuahidi ushindi mkiingia uwanjani ni aibu kukitazama. Mashabiki wenzangu wa Arsenal walikua wanamlalamikia Wenger nikawaambia hiki kikosi siyo kibaya tunachokosa ni spirit tu.

Mbona Spurs mlianza vyema msimu huu? Nafikiri Mourinho mwenyewe ndiye ana shida siyo kikosi.
 
Eti huu utopolo nao unajiita timu kubwa ..wacha wee[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata level na timu kama Arse8 hujafika halafu unajiita timu kubwa..pumbafuuu

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Point yako ya msingi ni nzuri sana mkuu. Kwamba hata kikosi kikiwa cha kawaida kikiwa na spirit kinapata matokeo. Big yes. Ila sharti hicho kikosi cha kawaida kiwe na balance, yaani kusiwe na eneo lenye udhaifu kupita kiasi, hapo kupata matokeo inakuwa ngumu.

Binafsi ninaona sababu kadhaa kwa nini Spurs ilifanya vizuri mwanzoni mwa msimu na sasa haifanyi vizuri. Acha nijadili tatu (3).

Moja.

Mwanzo mwa ligi timu ilikuwa na mshambuliaji mchezeshaji (namba 10) mzuri ila alipoanza tu kupata majeruhi ndipo tukaanza kupoteza matokeo; Giovani Lo Celso. Angalia tulipoanza kupoteza pointi kirahisi ni lini utanielewa.

Mourinho anapokuwa na kikosi cha kawaida au kizuri kisichobalance hapati matokeo bila namba 10 mzuri. Rejea hata ule msimu wa 2017/18 alipoanza vizuri kisha akaanza kupoteza pointi mpaka kumaliza pointi 18 nyuma ya City.

Mikitaryan alipokuwa akicheza vizuri nyuma ya Lukaku ilikuwa mwendo wa 4G. Defense yake mbovu ya akina Smalling na Phil Jones ilipoanza kuwa exposed (kumbuka wapinzani nao wanakusoma siku zinavyoongezeka) kocha akataka namba 10 naye ashiriki ulinzi timu inapokuwa haina mpira! Tatizo. Mikitaryan kaanza kupotea, creation ikapotea na timu nzima ikapotea.

Vivyo hivyo. Gio na Ndombele walikuwa wakicheza vema kwenye CAM na hivyo kuficha udhaifu wa Sissoko/Winks na Bergwijn kucover vema kwenye RW.

Mbili.

Timu nyingi kubwa zilianza ligi vibaya; City, United, Chelsea. Hii iliinufaisha Spurs kwanza kwa kuzifunga timu zenyewe (City 2-0, United 6-1, na nyinyi nadhani) lakini pia ilimaanisha Spurs anashindana na akina Everton, Liverpool, na Aston Villa pekee. Lakini sasa vigogo karibu wote ukiacha Arsenal wanapata matokeo na Everton na Villa hawatetereki. Hivyo sishangazwi na nafasi aliyopo Spurs.

Tatu.

Overdependence kwa wachezaji nyota wa kikosi imewafanya kuchoka na kuanza kupoteza sharpness. Na hili mimi na wewe Castr tushalijadili sana. Kwamba kwa nini nyota wa Spurs wanacheza kila mechi.

Ukiangalia namna Kane na Son wanavyokosa magoli utaelewa ninachomaanisha. Pia ukiangalia rafu anazocheza Hojbjerg utaona namna uchovu unavyochukua nafasi yake.

Na hapa simlaumu kocha. Kwenye mechi ndogo hasa za makombe, akiwaanzisha nje atalazimika kuwaingiza kuokoa jahazi. Akiwaanzisha wakapata magoli, akina Dier na D Sanchez wanachomesha hivyo analazimika kuwabakiza mpaka dk za mwisho kujihakikishia matokeo.

Swali kwako mtani wangu Castr . Naomba uniambie ungekuwa wewe ndiye kocha wa Spurs, ungepanga backline ipi ambayo ingepata walau clean sheet tatu tu katika mechi tano?
 
yaani nawaambia kila leo na sitaacha kuwaambia kwa mpira wa kisasa Mou kaishiwa hana tena jipya makocha wengi wameshamjulia yani akijilinda anapigwa,akifunguka anapigwa hajui hata afanyeje.bado yule mwenzake wa LA LIGA kashaanza kudondosha point akikutwa na kupitwa wala sitashangaa maana wote wana mipira ya hovyohovyo tu.......NB. furaha yangu ni kuona Mourinho anafungwa kila leo.
Bora umesema kweli kwamba hata "akifunguka" anapigwa. Kuna wengine wanasema Jose anapaki basi kila mechi!
 
Trophies huenda na historia na utamaduni pia. Hii timu haina historia wala utamaduni huo, inabidi kutengeneza mazingira hayo kwanza ndiyo muanze kuwaza trophies.
Kikosi ni dhaifu bado ila kinatosha kwa kocha mzoefu kubeba kombe kama Europa. Jose alibeba Europa ya pili akiwa na wachezaji wa5 wa kikosi cha kwanza waliohudhuria fainali wakiwa na magongo (Ibra, Shaw, Bailly, ..., ...).

United yenye akina Mateo Darmian, Young, Smalling na Phil Jones ikawafunga Ajax ya akina Ziyech, De Jong, De Ligt, na wenzao goli 2-0.

Mimi nadhani Mourinho hana kisingizio cha kushindwa kubeba moja kati ya Europa au Carabao.

Nieleweke vema hapa; kikosi cha Spurs ni dhaifu kushindania Ligi au FA ila kinatosha kushindania Europa au Carabao. Intesity ya makombe hayo inatofautiana kwa kuzingatia aina na uwezo wa timu unazokutana nazo na mtazamo wa makocha na timu juu ya vikombe hivyo.

Mfano: Kwa makocha wa timu za Uingereza: Wakati Pep, Jose, na Ancelotti wanaiheshimu na kuitaka sana Carabao, makocha kama Klopp na Ole wanayaona makombe ya mbuzi na hivyo huchezesha vikosi dhaifu sana hivyo kutoa advantage kwa wale wanaoyaheshimu.

Kwenye Europa pia kuna fixture nyingi unacheza na wakulima hivyo kwa kocha kama Jose kufika fainali ni rahisi.
 
Eti huu utopolo nao unajiita timu kubwa ..wacha wee[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata level na timu kama Arse8 hujafika halafu unajiita timu kubwa..pumbafuuu

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ajabu hiyo Arsenal haijawahi kuwa juu yetu tangu msimu uanze. Walikuwa juu yetu kwenye msimamo kabla ya mechi ya kwanza kuchezwa. Timu yao inaanza na "A" hivyo huwa timu ya kwanza mara tu baada ya ratiba kutoka.
 
Point yako ya msingi ni nzuri sana mkuu. Kwamba hata kikosi kikiwa cha kawaida kikiwa na spirit kinapata matokeo. Big yes. Ila sharti hicho kikosi cha kawaida kiwe na balance, yaani kusiwe na eneo lenye udhaifu kupita kiasi, hapo kupata matokeo inakuwa ngumu.

Binafsi ninaona sababu kadhaa kwa nini Spurs ilifanya vizuri mwanzoni mwa msimu na sasa haifanyi vizuri. Acha nijadili tatu (3).

Moja.

Mwanzo mwa ligi timu ilikuwa na mshambuliaji mchezeshaji (namba 10) mzuri ila alipoanza tu kupata majeruhi ndipo tukaanza kupoteza matokeo; Giovani Lo Celso. Angalia tulipoanza kupoteza pointi kirahisi ni lini utanielewa.

Mourinho anapokuwa na kikosi cha kawaida au kizuri kisichobalance hapati matokeo bila namba 10 mzuri. Rejea hata ule msimu wa 2017/18 alipoanza vizuri kisha akaanza kupoteza pointi mpaka kumaliza pointi 18 nyuma ya City.

Mikitaryan alipokuwa akicheza vizuri nyuma ya Lukaku ilikuwa mwendo wa 4G. Defense yake mbovu ya akina Smalling na Phil Jones ilipoanza kuwa exposed (kumbuka wapinzani nao wanakusoma siku zinavyoongezeka) kocha akataka namba 10 naye ashiriki ulinzi timu inapokuwa haina mpira! Tatizo. Mikitaryan kaanza kupotea, creation ikapotea na timu nzima ikapotea.

Vivyo hivyo. Gio na Ndombele walikuwa wakicheza vema kwenye CAM na hivyo kuficha udhaifu wa Sissoko/Winks na Bergwijn kucover vema kwenye RW.

Mbili.

Timu nyingi kubwa zilianza ligi vibaya; City, United, Chelsea. Hii iliinufaisha Spurs kwanza kwa kuzifunga timu zenyewe (City 2-0, United 6-1, na nyinyi nadhani) lakini pia ilimaanisha Spurs anashindana na akina Everton, Liverpool, na Aston Villa pekee. Lakini sasa vigogo karibu wote ukiacha Arsenal wanapata matokeo na Everton na Villa hawatetereki. Hivyo sishangazwi na nafasi aliyopo Spurs.

Tatu.

Overdependence kwa wachezaji nyota wa kikosi imewafanya kuchoka na kuanza kupoteza sharpness. Na hili mimi na wewe Castr tushalijadili sana. Kwamba kwa nini nyota wa Spurs wanacheza kila mechi.

Ukiangalia namna Kane na Son wanavyokosa magoli utaelewa ninachomaanisha. Pia ukiangalia rafu anazocheza Hojbjerg utaona namna uchovu unavyochukua nafasi yake.

Na hapa simlaumu kocha. Kwenye mechi ndogo hasa za makombe, akiwaanzisha nje atalazimika kuwaingiza kuokoa jahazi. Akiwaanzisha wakapata magoli, akina Dier na D Sanchez wanachomesha hivyo analazimika kuwabakiza mpaka dk za mwisho kujihakikishia matokeo.

Swali kwako mtani wangu Castr . Naomba uniambie ungekuwa wewe ndiye kocha wa Spurs, ungepanga backline ipi ambayo ingepata walau clean sheet tatu tu katika mechi tano?
Ah sisi tulianza na ushindi na hatujapokea kipigo kikubwa cha kuzidi goli nne.

Kocha hua ana kipaumbele, Mourinho inawezekana kipaumbele chake ni top four au trophies kama EFL hivi kisha kiangazi anaongeza kikosi. Hiki ndiyo tunatarajia akija kocha mpya.

Mimi ningekua kocha kwanza ningebadili formation, ningetumia 4 2 3 1 au 4 3 1 2. Backline hii hii anayoitumia isipokua ningempa sana game time Bale kucheza kama RM kwenye 4 2 3 1 na kucheza kama SS kwenye 4 3 1 2.

Kwenye 4 3 1 2 hii 1 namuweka Son, 2 ST anakua Kane na SS anakua Bale, kwenye 4 2 3 1 hii 1 anakua Kane, hii 3 watasimama Son, Ndombele na Bale. Yaani forward yangu ingemjumuisha Bale, Son na Kane kivyovyote kutokana na wote wana speed hivyo naandaa mazingira ya kaunta na kuwafanya wapinzani wasijisahau hence kupunguza kulisakama lango.
 
Kikosi ni dhaifu bado ila kinatosha kwa kocha mzoefu kubeba kombe kama Europa. Jose alibeba Europa ya pili akiwa na wachezaji wa5 wa kikosi cha kwanza waliohudhuria fainali wakiwa na magongo (Ibra, Shaw, Bailly, ..., ...).

United yenye akina Mateo Darmian, Young, Smalling na Phil Jones ikawafunga Ajax ya akina Ziyech, De Jong, De Ligt, na wenzao goli 2-0.

Mimi nadhani Mourinho hana kisingizio cha kushindwa kubeba moja kati ya Europa au Carabao.

Nieleweke vema hapa; kikosi cha Spurs ni dhaifu kushindania Ligi au FA ila kinatosha kushindania Europa au Carabao. Intesity ya makombe hayo inatofautiana kwa kuzingatia aina na uwezo wa timu unazokutana nazo na mtazamo wa makocha na timu juu ya vikombe hivyo.

Mfano: Kwa makocha wa timu za Uingereza: Wakati Pep, Jose, na Ancelotti wanaiheshimu na kuitaka sana Carabao, makocha kama Klopp na Ole wanayaona makombe ya mbuzi na hivyo huchezesha vikosi dhaifu sana hivyo kutoa advantage kwa wale wanaoyaheshimu.

Kwenye Europa pia kuna fixture nyingi unacheza na wakulima hivyo kwa kocha kama Jose kufika fainali ni rahisi.
Klopp na Ole hawana squad pana ya kuwatosha kushindania trophies zaidi ya moja, usione Klopp alikua anaita baadhi ya trophies mickey mouse ukadhani anapenda.

So hao usiwahesabu. Wahesabu wapinzani kama Southampton au City.

Europa inaweza kuchukulika in fact tournament fupi yoyote inaweza kuchukulika kazi ni kwa Mourinho kujipanga. Ila kule kuna vigogo pia, Milan, Napoli, Ajax, Hoffenhei, Leverkusen nk.
 
Screenshot_20210222-093537_1614007842921.jpg
 
yaani nawaambia kila leo na sitaacha kuwaambia kwa mpira wa kisasa Mou kaishiwa hana tena jipya makocha wengi wameshamjulia yani akijilinda anapigwa,akifunguka anapigwa hajui hata afanyeje.bado yule mwenzake wa LA LIGA kashaanza kudondosha point akikutwa na kupitwa wala sitashangaa maana wote wana mipira ya hovyohovyo tu.......NB. furaha yangu ni kuona Mourinho anafungwa kila leo.
Diego Simeoni wa Atletico , yaani nae akikutwa tuu lazima apigwe chini, yaani siyapendi makocha ambayo kazi yao ni kupaki basi kama nini
 
Wapenzi wa Mou,amepewa siku 12 tuu,la sivyo anapigwa chini na kocha wa RB Leipzig anakuja mr Julia
 
Mourinho ni serial winner. Binafsi sitashangaa akifukuzwa Spurs. Ni kama ambavyo kwa sasa Carlo Ancelotti hawezi kudumu kwenye timu moja kwa muda mrefu.

Kuna timu moja ilimaliza msimu uliopita ikiwa na Laporte, John Stones, na Eric Garcia kwenye CB. Ikasajili msimu huu Nathan Ake na Ruben Dias kwenye eneo hilo la ulinzi wa kati.

Timu yangu mimi ilimaliza msimu uliopita ikiwa na Toby, Eric Dier, D Sanchez na Tanganga kwenye CB. Yenyewe ikamsajili kinda kutoka Swansea Joe Rodon ili nayo iimarishe eneo hili.

Cha ajabu Mourinho haters wanashangaa defense kama hiyo kufanya costly defensive mistakes game in game out.

Kwa kifupi kwa kikosi cha sasa cha Spurs, ukitazama ubora wa vikosi vya timu 10 za juu epl sioni kocha zaidi ya Mourinho au Ancelotti ambaye angeiokoa timu isishuke daraja.

Period.
 
Ah sisi tulianza na ushindi na hatujapokea kipigo kikubwa cha kuzidi goli nne.

Kocha hua ana kipaumbele, Mourinho inawezekana kipaumbele chake ni top four au trophies kama EFL hivi kisha kiangazi anaongeza kikosi. Hiki ndiyo tunatarajia akija kocha mpya.

Mimi ningekua kocha kwanza ningebadili formation, ningetumia 4 2 3 1 au 4 3 1 2. Backline hii hii anayoitumia isipokua ningempa sana game time Bale kucheza kama RM kwenye 4 2 3 1 na kucheza kama SS kwenye 4 3 1 2.

Kwenye 4 3 1 2 hii 1 namuweka Son, 2 ST anakua Kane na SS anakua Bale, kwenye 4 2 3 1 hii 1 anakua Kane, hii 3 watasimama Son, Ndombele na Bale. Yaani forward yangu ingemjumuisha Bale, Son na Kane kivyovyote kutokana na wote wana speed hivyo naandaa mazingira ya kaunta na kuwafanya wapinzani wasijisahau hence kupunguza kulisakama lango.
Mkuu nakubali. Ila nimegundua hujaangalia performance ya Bale kwenye mechi anazopewa nafasi, tena mchezo ukiwa tayari umekwishadhibitiwa.
 
Back
Top Bottom