Mbeya City Spurs I
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 482
- 1,025
Ile fighting spirit angalau imerudi, pia game pasua kichwa kama zimeisha. Game kubwa zilizobakia ni dhidi ya Arsenal, Man Utd na Leicester. Wapinzani wakubwa wa Tott bado wana mechi ngumu, timu ikitulia inaweza kurudi kwenye top four.
Hello Mourinho people,
Sonny people,
Lamela people,
It's match day today; vs Fulham. Pointi tatu muhimu leo. Nawaambia watu wangu. Baada ya mechi 4/5 zijazo tuko nafasi ya 3/4. Sababu zinafuata hapa;
1. Wapinzani wote wako kipindi kibaya.
2. Sisi performance ya timu imerudi.
3. Ratiba yetu nyepesi, wapinzani ngumu.
4. Wachezaji muhimu wamerudi.
Angalia morali ya wachezaji kwenye clip ya foot tennis kwenye mazoezi ya jana hapo juu.
Ben Davies vs Reguilon[emoji848]Hello Mourinho people, this is how we line up vs Fulham. Pointi tatu lazima.
✓ Dele Alli anaanza
✓ Bale anaanza pia
✓ Hojbjerg kacheza kila dk tangu ligi ianze
✓ Ni Toby na D Sanchez tena
✓ Matt Doherty is back at RB
✓ Ben Davies is back too at LB
4-2-3-1
#COYS
Mchuano uliopo sasa kwenye fullbacks nimeupenda. Ujio wa Reggy na Doherty umeinua viwango vya Ben Davies na Serge Aurier.Ben Davies vs Reguilon[emoji848]
Noma, lazima wakae. Hapo bado Kane na Bale kuhusika kwenye magoli.Tushafanya yetu huko
Mechi ilikuwa ngumu. Tumeshinda kwa mbinde, full kudefend second half. Liver na chel6 watoe draw itakuwa nzuri.Job well done.
FT: Fulham 0-1 Spurs
Next stop: Palace (H)
Ngoja tuangalie Looserpool vs Chelsix
Wakitoa sare ndiyo itakuwa vema zaidi kwetu. Otherwise Chelsix wapigwe tu.
Liverpool inaonekana bado ataendelea kupokea vipigo. Kimahesabu atalala nje ya top six msimu huu. Hata sisi tukishinda mechi ya mkononi tushamhesabu. Kuna watu wameshika nafasi zetu pale top four. Wanapigwa mmoja mmoja.Mechi ilikuwa ngumu. Tumeshinda kwa mbinde, full kudefend second half. Liver na chel6 watoe draw itakuwa nzuri.
Yap. Toby analazimishwa kucheza kushoto alipokuwa akicheza Vertonghen. Hiyo inampa shida. D Sanchez anajituma ila tatizo hana quality hiyo. Hojbjerg ni irreplaceable.Spurs wamerejea vizuri, kipindi cha pili game ilitulia fresh kabisa. Pamoja na kushinda ni wazi beki zetu bado hazina ubora wa kutosha.
Katika ligi kubwa zote za Ulaya, Tottenham ni timu ya pili kufunga magoli 100 ndani ya msimu katika mashindano yote, inatanguliwa na Bayern yenye 106. Wale wakosoaji wa Mou kuwa anacheza mchezo wa kujilinda watuambie haya magoli yamepatikana vipi bila kushambulia.Yap. Toby analazimishwa kucheza kushoto alipokuwa akicheza Vertonghen. Hiyo inampa shida. D Sanchez anajituma ila tatizo hana quality hiyo. Hojbjerg ni irreplaceable.
Zaha alikuwa anampindua Sanchez vile mtu anageuza chapati, Tott ingekuwa na beki iliyotulia, bila shaka Mou angenyanyua vikombe vingine.Yap. Toby analazimishwa kucheza kushoto alipokuwa akicheza Vertonghen. Hiyo inampa shida. D Sanchez anajituma ila tatizo hana quality hiyo. Hojbjerg ni irreplaceable.
chenga zinazuia mtu kubeba kombee acha ushabikn wadomon wa yanga na simbaZaha alikuwa anampindua Sanchez vile mtu anageuza chapati, Tott ingekuwa na beki iliyotulia, bila shaka Mou angenyanyua vikombe vingine.
Mkuu, ukiisoma kwa umakini hiyo post ya permanides utaona anachomaanisha. Huyo Zaha hawezi kuwachachafya mabeki kama Ruben Dias, Van Dijk, au Milan Skriniar kama alivyokuwa akifanya jana.chenga zinazuia mtu kubeba kombee acha ushabikn wadomon wa yanga na simba