Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Kati ya makosa Mourinho alifanya ni kukubali kuifundisha Tottenham, ni average team ambayo haina nia ya dhati ya kubeba vikombe, ni timu ya amsha amsha tu, na mafanikio yao ni kushiriki UEFA hakuna kingine.
Chelsea ilikua hivyo hivyo. Spurs mmeamua kuwekeza
 
Mkuu hapa sizungumzii yaliyotokea wakati huo ila matarajio ya Arsenal hii kutoa kipigo tena kwa Tottenham katika game ya leo.
Kwa muda huu sofascore inasupport maoni yako kwamba Spurs anashinda.
Screenshot_2021-03-14-11-07-45-09.jpg

Lakini Livescore inasupport maoni yangu kwamba Arsenal itashinda.
Screenshot_2021-03-14-11-08-00-85.jpg

Na Betting companies zinakubaliana na livescore kwamba Arsenal ana nafasi kubwa ya kushinda.

Leo mtoto hatumwi dukani.
 
Na presha nyingine ni ya kutishiwa kibarua.

Ndiyo maana akaswitch kutoka 3 4 3 kwenda 4 2 3 1, siku moja nyuma nikawa nasema anatakiwa aswitch kama anataka kushinda. Baada ya kitisho ameswitch formation ameshinda games mfululizo ila leo anakutana na wamiliki wa hii derby.
Derby ya leo si Arsenane vs Spurs. Ni Jose vs Arsenal na Jose ndiye mwenye rekodi nzuri hapo.

Mmechomoa hilo goli la msimu, kipindi cha pili tunawatupia jingine.
 
Derby ya leo si Arsenane vs Spurs. Ni Jose vs Arsenal na Jose ndiye mwenye rekodi nzuri hapo.

Mmechomoa hilo goli la msimu, kipindi cha pili tunawatupia jingine.
Anayekufa anakufa kuanzia tatu.

Kama swala ni rekodi. Iko hivi, katika mara 23 za mwanzo ambazo Bale alianza spurs haikupata ushindi.
 
Kama kawaida, magoli ya zawadi yanatunyima pointi 3.

Toby - Bahati mbaya

Penati - Ya zawadi

Lamela - Utoto mwingi
 
Kama kawaida, magoli ya zawadi yanatunyima pointi 3.

Toby - Bahati mbaya

Penati - Ya zawadi

Lamela - Utoto mwingi
Hoja mbovu.

Kwahiyo na mimi niseme Hata rabona ya Lamela ilipigwa mbele ya Partey so bila partey Leno angeuona mpira.
 
Tottenham currently preparing a ‘DVD’ for Lamela’s Rabona kick goal in a 2-1 defeat against Arsenal. It’s the history of the Totnum
 
Hoja mbovu.

Kwahiyo na mimi niseme Hata rabona ya Lamela ilipigwa mbele ya Partey so bila paryey Leno angeuona mpira.
Ukinisoma vizuri utagundua sijakejeli ushindi. That's football. Hata baada ya penati na Lamela card tulikuwa na dk nyingi tu za kurejesha mchezo. Tofauti ni kwamba kuna aina ya magoli yanapompa mpinzani ushindi yanapoteza kwa kiasi fulani ladha ya mchezo.
 
Tottenham currently preparing a ‘DVD’ for Lamela’s Rabona kick goal in a 2-1 defeat against Arsenal. It’s the history of the Totnum
Kwetu magoli makali kawaida sana. Sonny vs Burnley last season, Winks rocket goal, Kane juzi hapo, Lamela jana, Delle Alli tikitaka juzikati hapo, ... Tushayazoea sana.
 
Ukinisoma vizuri utagundua sijakejeli ushindi. That's football. Hata baada ya penati na Lamela card tulikuwa na dk nyingi tu za kurejesha mchezo. Tofauti ni kwamba kuna aina ya magoli yanapompa mpinzani ushindi yanapoteza kwa kiasi fulani ladha ya mchezo.
Mimi game nzima sikuona kama mlicheza vizuri kulinganisha na baada ya red. Baada ya red mlikua moto kama vile hampo pungufu.

Ni somo kwa Arsenal yetu.
 
Ningekua Mourinho ningewekeza nguvu kwenye ligi na efl. Huku Europa kuna Arsenal.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha sana ujue. Kumpiga Mourinho juzi kunawafanya muanze kuona kama mnaweza kumpiga kwenye knockout game.
 
Mimi game nzima sikuona kama mlicheza vizuri kulinganisha na baada ya red. Baada ya red mlikua moto kama vile hampo pungufu.

Ni somo kwa Arsenal yetu.
Mpira tulicheza kipindi cha pili. Kipindi cha kwanza tulicheza kama Yanga. Poor with the ball, poor without the ball. Kuna wachezaji wetu muhimu ilikuwa kama hawataki kucheza hivi. Binafsi niliona Ndombele akigusa mpira mara mbili tu kipindi cha kwanza kwa mfano.

Ndiyo sababu mliimiliki midfield. Ilimbidi kocha kumtoa sadaka mshambuliaji mmoja (Bale) ili aingie mkabaji (Sissoko). Baada ya kuona bado kuna wavivu ikabidi kumtoa Ndombele aliyekuwa kahamishiwa mbele kama CAM, akaingia Dele Alli.

Hapo ndipo ikawa turning point ya mchezo. Ni ile tu Kane hakuwa na bahati. Miamba kadhaa na kosa kosa nyingine.

Tatizo jingine la kikosi chetu ni kuwa na wachezaji tegemezi wenye low mentalities. Kwa mfano, kwa namna Ndombele alivyocheza juzi ingekuwa kocha kama Ferguson hachezi tena na anauzwa mwisho wa msimu! Kumbuka Barthez alivyozingua kwenye 4-3 ya United vs Madrid. Ila kwa kuwa Mourinho akimbenchi mechi mbili tu zijazo media zitamuua.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha sana ujue. Kumpiga Mourinho juzi kunawafanya muanze kuona kama mnaweza kumpiga kwenye knockout game.
Tumechukua trophy mbele ya liva na chelsea. Spurs ni nini?
 
Mpira tulicheza kipindi cha pili. Kipindi cha kwanza tulicheza kama Yanga. Poor with the ball, poor without the ball. Kuna wachezaji wetu muhimu ilikuwa kama hawataki kucheza hivi. Binafsi niliona Ndombele akigusa mpira mara mbili tu kipindi cha kwanza kwa mfano.

Ndiyo sababu mliimiliki midfield. Ilimbidi kocha kumtoa sadaka mshambuliaji mmoja (Bale) ili aingie mkabaji (Sissoko). Baada ya kuona bado kuna wavivu ikabidi kumtoa Ndombele aliyekuwa kahamishiwa mbele kama CAM, akaingia Dele Alli.

Hapo ndipo ikawa turning point ya mchezo. Ni ile tu Kane hakuwa na bahati. Miamba kadhaa na kosa kosa nyingine.

Tatizo jingine la kikosi chetu ni kuwa na wachezaji tegemezi wenye low mentalities. Kwa mfano, kwa namna Ndombele alivyocheza juzi ingekuwa kocha kama Ferguson hachezi tena na anauzwa mwisho wa msimu! Kumbuka Barthez alivyozingua kwenye 4-3 ya United vs Madrid. Ila kwa kuwa Mourinho akimbenchi mechi mbili tu zijazo media zitamuua.
Kwani hizo wood works Arsenal imezipiga ngapi?

Kane kaonekana kuanzia dakika ya 80. Mliopt kupaki basi na ikabackfire namna pekee mlikua poa ni dakika 10 za mwisho tu.
 
Arsenal buana. Nyie mtaendelea kuwa katimu kadogo tu. Kwamba hamjui connection kati ya Harry Kane na Arsenal! Hamjui pia kuwa Doherty alikuwaga shabiki wa Arsenal kabla hatujamsajili na yeye kufuta hizo tweet hadharani!

Hii timu ya Wenger hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hauoni aibu kusema Arsenal timu ndogo? Au ndiyo inabidi uresort kwenye fitna ukiishiwa hoja.
 
Back
Top Bottom