Acha uboya namsubili everton ashinde hapa nichukue 470 yangu hapa, dahSafi Sana , Everton anachezea kichapo kule ,Chelsea amedro , Kesho naombea Manu ashinde , alaf viporo vyetu tushinde vyote haoooo , top four
Sawa chief zidisha maombi , amechomoa kamoja hukoAcha uboya namsubili everton ashinde hapa nichukue 470 yangu hapa, dah
Namna pekee mtashinda ni kama mtapaki basi kama mechi iliyopita mkijichanganya mnapasuka goli kuanzia tatu.Everton apigwe tu. Burnley wana nafasi kubwa zaidi ya kushinda. Tukishinda viporo vyetu viwili Chelsea yuko chini yetu. Kesho tumpige Arsenane.
Mechi ilishaanza jana kwenye press conference ya Jose. Ka-downplay swali la kwamba Spurs ndiye mkubwa North London? Kasema Arsenal ni timu kubwa yenye historia kubwa; Mourinho mind games. Tunawapiga kesho.
Cc: Castr
Hatuta paki basi. Tutakabia juu. Kama tu tulivyowapiga zile 2 - 0. Hii mechi ni marudio. Sema tu yenyewe ina Bale ndani.Namna pekee mtashinda ni kama mtapaki basi kama mechi iliyopita mkijichanganya mnapasuka goli kuanzia tatu.
Mh ile siku bwana haikua kukabia juu, ilikua ni basi na kaunta. Mshachezea 5 mara kibao mkiwa na mtu kama Modric, Bale leo haokoi mtu.Hatuta paki basi. Tutakabia juu. Kama tu tulivyowapiga zile 2 - 0. Hii mechi ni marudio. Sema tu yenyewe ina Bale ndani.
Mkuu huwa nakuheshimu sana katika uchambuzi wa soka, lakini hizi ndoto za Tottenham kufungwa 5 na Arsenal zitafanya tuanze kutilia shaka yale unayoyasema.Mh ile siku bwana haikua kukabia juu, ilikua ni basi na kaunta. Mshachezea 5 mara kibao mkiwa na mtu kama Modric, Bale leo haokoi mtu.
Mpaka muda huu 60% ni kupasuka tu. Nitaongeza au kupunguza asilimia baada ya kuona vikosi.
Unafikiri nadanganya? Hapana, ni kweli. Tena tano za karibuni ilikua Adebayor katoka Arsenal kaja Spurs halafu akatufunga.Mkuu huwa nakuheshimu sana katika uchambuzi wa soka, lakini hizi ndoto za Tottenham kufungwa 5 na Arsenal zitafanya tuanze kutilia shaka yale unayoyasema.
Lakini ujue enzi hizo tulikuwa na vikosi ila hatukuwa na makocha wa ushindi. Wao ilikuwa ni kufunguka tuuuu, ilimradi timu icheze attacking football.Unafikiri nadanganya? Hapana, ni kweli. Tena tano za karibuni ilikua Adebayor katoka Arsenal kaja Spurs halafu akatufunga.
Mourinho hayupo kwenye form yupo kwenye presha.Lakini ujue enzi hizo tulikuwa na vikosi ila hatukuwa na makocha wa ushindi. Wao ilikuwa ni kufunguka tuuuu, ilimradi timu icheze attacking football.
Kwa form tuliyonayo sasa hivi leo lazima tupate pointi 3 kwenu.
Presha aliyonayo Mourinho ni kwenye selection ya wachezaji kwenye baadhi ya nafasi. Hilo hata yeye kakiri.Mourinho hayupo kwenye form yupo kwenye presha.
Mimi nasema, namna pekee mtaondoka na point ni kupaki basi tu. Ila wakianza laca na Pepe hilo basi linatupiwa mawe kutokea mbali.
Na presha nyingine ni ya kutishiwa kibarua.Presha aliyonayo Mourinho ni kwenye selection ya wachezaji kwenye baadhi ya nafasi. Hilo hata yeye kakiri.
Mfano: Kwenye RB, Doherty na Serge Aurier wote wanacheza vizuri na kwa kujituma wanapopewa nafasi. Ampange nani amwache nani.
Pia kwenye LB Reggy na Ben Davies wote wanacheza vizuri.
Kuna washambuliaji wetu watatu wanagombea nafasi 1 (CAM). Wote ni average players ila kwa sasa wanaperform wakiwa uwanjani: Dele Alli, Moura na Lamela. Unamchezesha nani unamwacha nani. Hiyo ndiyo presha aliyonayo.
Mkuu hapa sizungumzii yaliyotokea wakati huo ila matarajio ya Arsenal hii kutoa kipigo tena kwa Tottenham katika game ya leo.Unafikiri nadanganya? Hapana, ni kweli. Tena tano za karibuni ilikua Adebayor katoka Arsenal kaja Spurs halafu akatufunga.
Kati ya makosa Mourinho alifanya ni kukubali kuifundisha Tottenham, ni average team ambayo haina nia ya dhati ya kubeba vikombe, ni timu ya amsha amsha tu, na mafanikio yao ni kushiriki UEFA hakuna kingine.Na presh nyingine ni ya kutishiwa kibarua.
Ndiyo maana akaswitch kutoka 3 4 3 kwenda 4 2 3 1, siku moja nyuma nikawa nasema anatakiwa aswitch kama anataka kushinda. Baada ya kitisho ameswitch formation ameshinda games mfululizo ila leo anakutana na wamiliki wa hii derby.