Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

FT: Spurs 2 - 0 Dinamo Zagreb

Kane [emoji460][emoji460]

We are on to the next one people.

Hojbjerg kaingia mwishoni ili akapewe njano. Anakosa mechi ijayo. Nadhani hiyo ni janja ya Mourinho asimkose kwenye mechi muhimu huko mbele.

Good performance from every player.

COYS
 
Safi Sana , Everton anachezea kichapo kule ,Chelsea amedro , Kesho naombea Manu ashinde , alaf viporo vyetu tushinde vyote haoooo , top four
 
Everton apigwe tu. Burnley wana nafasi kubwa zaidi ya kushinda. Tukishinda viporo vyetu viwili Chelsea yuko chini yetu. Kesho tumpige Arsenane.

Mechi ilishaanza jana kwenye press conference ya Jose. Ka-downplay swali la kwamba Spurs ndiye mkubwa North London? Kasema Arsenal ni timu kubwa yenye historia kubwa; Mourinho mind games. Tunawapiga kesho.

Cc: Castr
 
Namna pekee mtashinda ni kama mtapaki basi kama mechi iliyopita mkijichanganya mnapasuka goli kuanzia tatu.
 
Hatuta paki basi. Tutakabia juu. Kama tu tulivyowapiga zile 2 - 0. Hii mechi ni marudio. Sema tu yenyewe ina Bale ndani.
Mh ile siku bwana haikua kukabia juu, ilikua ni basi na kaunta. Mshachezea 5 mara kibao mkiwa na mtu kama Modric, Bale leo haokoi mtu.

Mpaka muda huu 60% ni kupasuka tu. Nitaongeza au kupunguza asilimia baada ya kuona vikosi.
 
Mkuu huwa nakuheshimu sana katika uchambuzi wa soka, lakini hizi ndoto za Tottenham kufungwa 5 na Arsenal zitafanya tuanze kutilia shaka yale unayoyasema.
 
Unafikiri nadanganya? Hapana, ni kweli. Tena tano za karibuni ilikua Adebayor katoka Arsenal kaja Spurs halafu akatufunga.
 
Lakini ujue enzi hizo tulikuwa na vikosi ila hatukuwa na makocha wa ushindi. Wao ilikuwa ni kufunguka tuuuu, ilimradi timu icheze attacking football.

Kwa form tuliyonayo sasa hivi leo lazima tupate pointi 3 kwenu.
 
Mourinho hayupo kwenye form yupo kwenye presha.

Mimi nasema, namna pekee mtaondoka na point ni kupaki basi tu. Ila wakianza laca na Pepe hilo basi linatupiwa mawe kutokea mbali.
 
Presha aliyonayo Mourinho ni kwenye selection ya wachezaji kwenye baadhi ya nafasi. Hilo hata yeye kakiri.

Mfano: Kwenye RB, Doherty na Serge Aurier wote wanacheza vizuri na kwa kujituma wanapopewa nafasi. Ampange nani amwache nani.

Pia kwenye LB Reggy na Ben Davies wote wanacheza vizuri.

Kuna washambuliaji wetu watatu wanagombea nafasi 1 (CAM). Wote ni average players ila kwa sasa wanaperform wakiwa uwanjani: Dele Alli, Moura na Lamela. Unamchezesha nani unamwacha nani. Hiyo ndiyo presha aliyonayo.
 
Na presha nyingine ni ya kutishiwa kibarua.

Ndiyo maana akaswitch kutoka 3 4 3 kwenda 4 2 3 1, siku moja nyuma nikawa nasema anatakiwa aswitch kama anataka kushinda. Baada ya kitisho ameswitch formation ameshinda games mfululizo ila leo anakutana na wamiliki wa hii derby.
 
Unafikiri nadanganya? Hapana, ni kweli. Tena tano za karibuni ilikua Adebayor katoka Arsenal kaja Spurs halafu akatufunga.
Mkuu hapa sizungumzii yaliyotokea wakati huo ila matarajio ya Arsenal hii kutoa kipigo tena kwa Tottenham katika game ya leo.
 
Na presh nyingine ni ya kutishiwa kibarua.

Ndiyo maana akaswitch kutoka 3 4 3 kwenda 4 2 3 1, siku moja nyuma nikawa nasema anatakiwa aswitch kama anataka kushinda. Baada ya kitisho ameswitch formation ameshinda games mfululizo ila leo anakutana na wamiliki wa hii derby.
Kati ya makosa Mourinho alifanya ni kukubali kuifundisha Tottenham, ni average team ambayo haina nia ya dhati ya kubeba vikombe, ni timu ya amsha amsha tu, na mafanikio yao ni kushiriki UEFA hakuna kingine.
 
Back
Top Bottom