Chelsea ilikua hivyo hivyo. Spurs mmeamua kuwekezaKati ya makosa Mourinho alifanya ni kukubali kuifundisha Tottenham, ni average team ambayo haina nia ya dhati ya kubeba vikombe, ni timu ya amsha amsha tu, na mafanikio yao ni kushiriki UEFA hakuna kingine.
Kwa muda huu sofascore inasupport maoni yako kwamba Spurs anashinda.Mkuu hapa sizungumzii yaliyotokea wakati huo ila matarajio ya Arsenal hii kutoa kipigo tena kwa Tottenham katika game ya leo.
Derby ya leo si Arsenane vs Spurs. Ni Jose vs Arsenal na Jose ndiye mwenye rekodi nzuri hapo.Na presha nyingine ni ya kutishiwa kibarua.
Ndiyo maana akaswitch kutoka 3 4 3 kwenda 4 2 3 1, siku moja nyuma nikawa nasema anatakiwa aswitch kama anataka kushinda. Baada ya kitisho ameswitch formation ameshinda games mfululizo ila leo anakutana na wamiliki wa hii derby.
Anayekufa anakufa kuanzia tatu.Derby ya leo si Arsenane vs Spurs. Ni Jose vs Arsenal na Jose ndiye mwenye rekodi nzuri hapo.
Mmechomoa hilo goli la msimu, kipindi cha pili tunawatupia jingine.
Hoja mbovu.Kama kawaida, magoli ya zawadi yanatunyima pointi 3.
Toby - Bahati mbaya
Penati - Ya zawadi
Lamela - Utoto mwingi
We are winning the Europa league this season. The efl too. Won't remain empty.Nimeiona sehemu;
London can not be white if your trophy cabinet is empty.
Ukinisoma vizuri utagundua sijakejeli ushindi. That's football. Hata baada ya penati na Lamela card tulikuwa na dk nyingi tu za kurejesha mchezo. Tofauti ni kwamba kuna aina ya magoli yanapompa mpinzani ushindi yanapoteza kwa kiasi fulani ladha ya mchezo.Hoja mbovu.
Kwahiyo na mimi niseme Hata rabona ya Lamela ilipigwa mbele ya Partey so bila paryey Leno angeuona mpira.
Kwetu magoli makali kawaida sana. Sonny vs Burnley last season, Winks rocket goal, Kane juzi hapo, Lamela jana, Delle Alli tikitaka juzikati hapo, ... Tushayazoea sana.Tottenham currently preparing a ‘DVD’ for Lamela’s Rabona kick goal in a 2-1 defeat against Arsenal. It’s the history of the Totnum
Ningekua Mourinho ningewekeza nguvu kwenye ligi na efl. Huku Europa kuna Arsenal.We are winning the Europa league this season. The efl too. Won't remain empty.
Mimi game nzima sikuona kama mlicheza vizuri kulinganisha na baada ya red. Baada ya red mlikua moto kama vile hampo pungufu.Ukinisoma vizuri utagundua sijakejeli ushindi. That's football. Hata baada ya penati na Lamela card tulikuwa na dk nyingi tu za kurejesha mchezo. Tofauti ni kwamba kuna aina ya magoli yanapompa mpinzani ushindi yanapoteza kwa kiasi fulani ladha ya mchezo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha sana ujue. Kumpiga Mourinho juzi kunawafanya muanze kuona kama mnaweza kumpiga kwenye knockout game.Ningekua Mourinho ningewekeza nguvu kwenye ligi na efl. Huku Europa kuna Arsenal.
Mpira tulicheza kipindi cha pili. Kipindi cha kwanza tulicheza kama Yanga. Poor with the ball, poor without the ball. Kuna wachezaji wetu muhimu ilikuwa kama hawataki kucheza hivi. Binafsi niliona Ndombele akigusa mpira mara mbili tu kipindi cha kwanza kwa mfano.Mimi game nzima sikuona kama mlicheza vizuri kulinganisha na baada ya red. Baada ya red mlikua moto kama vile hampo pungufu.
Ni somo kwa Arsenal yetu.
Tumechukua trophy mbele ya liva na chelsea. Spurs ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha sana ujue. Kumpiga Mourinho juzi kunawafanya muanze kuona kama mnaweza kumpiga kwenye knockout game.
Kwani hizo wood works Arsenal imezipiga ngapi?Mpira tulicheza kipindi cha pili. Kipindi cha kwanza tulicheza kama Yanga. Poor with the ball, poor without the ball. Kuna wachezaji wetu muhimu ilikuwa kama hawataki kucheza hivi. Binafsi niliona Ndombele akigusa mpira mara mbili tu kipindi cha kwanza kwa mfano.
Ndiyo sababu mliimiliki midfield. Ilimbidi kocha kumtoa sadaka mshambuliaji mmoja (Bale) ili aingie mkabaji (Sissoko). Baada ya kuona bado kuna wavivu ikabidi kumtoa Ndombele aliyekuwa kahamishiwa mbele kama CAM, akaingia Dele Alli.
Hapo ndipo ikawa turning point ya mchezo. Ni ile tu Kane hakuwa na bahati. Miamba kadhaa na kosa kosa nyingine.
Tatizo jingine la kikosi chetu ni kuwa na wachezaji tegemezi wenye low mentalities. Kwa mfano, kwa namna Ndombele alivyocheza juzi ingekuwa kocha kama Ferguson hachezi tena na anauzwa mwisho wa msimu! Kumbuka Barthez alivyozingua kwenye 4-3 ya United vs Madrid. Ila kwa kuwa Mourinho akimbenchi mechi mbili tu zijazo media zitamuua.
Hivi hauoni aibu kusema Arsenal timu ndogo? Au ndiyo inabidi uresort kwenye fitna ukiishiwa hoja.Arsenal buana. Nyie mtaendelea kuwa katimu kadogo tu. Kwamba hamjui connection kati ya Harry Kane na Arsenal! Hamjui pia kuwa Doherty alikuwaga shabiki wa Arsenal kabla hatujamsajili na yeye kufuta hizo tweet hadharani!
Hii timu ya Wenger hii [emoji23][emoji23][emoji23]