Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Premier League matches:Arsenal buana. Nyie mtaendelea kuwa katimu kadogo tu. Kwamba hamjui connection kati ya Harry Kane na Arsenal! Hamjui pia kuwa Doherty alikuwaga shabiki wa Arsenal kabla hatujamsajili na yeye kufuta hizo tweet hadharani!
Hii timu ya Wenger hii [emoji23][emoji23][emoji23]
It's not about fitna mkuu. It's just a jibe to remind you that you are fading away season after season.Hivi hauoni aibu kusema Arsenal timu ndogo? Au ndiyo inabidi uresort kwenye fitna ukiishiwa hoja.
Arsenal fading away season after season? HahahahIt's not about fitna mkuu. It's just a jibe to remind you that you are fading away season after season.
Ujue Castr nikisema Arsenal inazidi kuwa timu ndogo simaanishi kuwa eti Spurs ni timu kubwa.Arsenal fading away season after season? Hahahah
Kuna jamaa wa liva na mwingine wa chelsea nilishajadiliana nao juu ya huo 'udogo' na 'kupotea kwenye ramani' kwa Arsenal msimu kwa msimu.Ujue Castr nikisema Arsenal inazidi kuwa timu ndogo simaanishi kuwa eti Spurs ni timu kubwa.
Levy amefanya kazi kubwa kuifikisha Spurs ilipofika ila hofu yangu ni kuwa waingereza hawajui mpira (analysis ya mpira). Hivyo timu zenye football analysts wa kiingereza huwa na mipango mibovu sana kwenye squad development.
Mifano iko mingi. Angalia maamuzi wanayofanya Levy na Woodward kwenye usajili utagundua aina ya watu wanaowashauri. Hawajui kitu kuhusu soka.
Tukirudi kwenu Arsenal. Nadhani mnalo tatizo linaloitesa United na AC Milani pia. Wamiliki wenu vipaumbele vyao ni maendeleo ya nje ya uwanja na si ndani ya uwanja. Wanatumia mafanikio mliyopata kwenye miongo kadhaa iliyopita kutengeneza biashara.
Manunuzi wanayofanya ni ya hapa na pale tu kubalance mizani baina ya biashara na furaha ya mashabiki. Ndiyo sababu Chelsea ambayo kimsingi haina historia kubwa kuzidi Arsenal leo inaonekana timu kubwa kuliko Arsenal.
Wewe ndiye unasema mnachukua Europa na EFL?Arsenal buana. Nyie mtaendelea kuwa katimu kadogo tu. Kwamba hamjui connection kati ya Harry Kane na Arsenal! Hamjui pia kuwa Doherty alikuwaga shabiki wa Arsenal kabla hatujamsajili na yeye kufuta hizo tweet hadharani!
Hii timu ya Wenger hii [emoji23][emoji23][emoji23]
This aged wellWe are winning the Europa league this season. The efl too. Won't remain empty.
kabisa mkuu naona Mou kocha bora kbs EPL kwa sasa anaenda kubeba EUROPA LEAGUE, kisha anaenda kumpiga CITY fainali ya EFL halafu sisi tunaopenda attacking football tutabaki kumpongeza kwa mafanikio aliyoyapata.....'ni ngumu sana kucheza mpira rahisi lkn rahisi sana kucheza mpira mgumu'Furaha yako itakamilika mwishoni mwa msimu. Pale Mourinho atakapokuwa na kikombe (Europa/EFL). Wewe utakuwa na modern football aka attacking football but trophyless.
Anabeba EUROPE LEAGUE ya ndodndo Cup au ipi hiyo?kabisa mkuu naona Mou kocha bora kbs EPL kwa sasa anaenda kubeba EUROPA LEAGUE, kisha anaenda kumpiga CITY fainali ya EFL halafu sisi tunaopenda attacking football tutabaki kumpongeza kwa mafanikio aliyoyapata.....'ni ngumu sana kucheza mpira rahisi lkn rahisi sana kucheza mpira mgumu'
si bora hao Arsenal mkuu kwenye ramani ya dunia ya soka wapo,wamepinduliwa matokeo na wakulima huku yan mimi kutazama timu anayofundisha Mou siwezi kbs japo pia sishangazwi na baadhi ya wanaopenda style yake japo ni 1/10 maana hata kwenye vyakula binadamu tunatofautiana kuna wanaokula nyanya chungu na kuipenda ladha yake wkt mm siipendi kwa ladha yake hiyohiyo 'CHUNGU'Yani kweli nyie ni matakataka, mnapigwa hadi na Arse8???
watabeba hiyohiyo EUROPE LEAGUE ya Mbagala rangi tatu maana ile ya ulaya wakulima wameshafanya yao wameitumia pakti moja kwa usahihi kbs.Anabeba EUROPE LEAGUE ya ndodndo Cup au ipi hiyo?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu ukipata chansi rudi.
Huu uzi kumbe bila wewe hauendi, halafu mmetolewa Europa na timu ambayo kocha yupo jela.
Yaan spur wanahitaji wapewe yule mganga wa Simba yaan ni hovyo kabsaaHili thread imekuwa tamu sana japo timu haifanyi vizuri. Mijadala inaenda deep. Ni hoja juu ya hoja.
Pongezi kwa wajumbe wote kwa kifikisha post 2000.
Labda sasa mods wataanza kufikiria kutupa heshima tunayostahili watuweke pale juu kwenye sticky threads.
Au watasubiri mpake tuchukue vikombe vyetu tulivyokatia hakimiliki msimu huu: Europa na Karaghabaho!
#COYS