Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Arsenal buana. Nyie mtaendelea kuwa katimu kadogo tu. Kwamba hamjui connection kati ya Harry Kane na Arsenal! Hamjui pia kuwa Doherty alikuwaga shabiki wa Arsenal kabla hatujamsajili na yeye kufuta hizo tweet hadharani!

Hii timu ya Wenger hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Premier League matches:

1103 - Tottenham Hotspur football club

828 - Arsène Wenger

Premier League victories:

476 - Arsène Wenger

475 - Tottenham Hotspur football club
1615893825407.png
 
Arsenal fading away season after season? Hahahah
Ujue Castr nikisema Arsenal inazidi kuwa timu ndogo simaanishi kuwa eti Spurs ni timu kubwa.

Levy amefanya kazi kubwa kuifikisha Spurs ilipofika ila hofu yangu ni kuwa waingereza hawajui mpira (analysis ya mpira). Hivyo timu zenye football analysts wa kiingereza huwa na mipango mibovu sana kwenye squad development.

Mifano iko mingi. Angalia maamuzi wanayofanya Levy na Woodward kwenye usajili utagundua aina ya watu wanaowashauri. Hawajui kitu kuhusu soka.

Tukirudi kwenu Arsenal. Nadhani mnalo tatizo linaloitesa United na AC Milani pia. Wamiliki wenu vipaumbele vyao ni maendeleo ya nje ya uwanja na si ndani ya uwanja. Wanatumia mafanikio mliyopata kwenye miongo kadhaa iliyopita kutengeneza biashara.

Manunuzi wanayofanya ni ya hapa na pale tu kubalance mizani baina ya biashara na furaha ya mashabiki. Ndiyo sababu Chelsea ambayo kimsingi haina historia kubwa kuzidi Arsenal leo inaonekana timu kubwa kuliko Arsenal.
 
Kuna jamaa wa liva na mwingine wa chelsea nilishajadiliana nao juu ya huo 'udogo' na 'kupotea kwenye ramani' kwa Arsenal msimu kwa msimu.

Uko sahihi juu ya Kroenke na vision yake juu ya mafanikio ya timu ya Arsenal, na Arsenal imevuka viunzi imejiweka katika nafasi ya kushiriki michuano ya ulaya zaidi ya misimu 10 mfululizo ikiwa na bajeti finyu.

Kwa ujio wa Arteta na uelekeo tunaoenda kama hamkutumia hii miaka 15 kupata hata trophy basi Usiku Mwema. Kuiita chelsea timu kubwa mbele ya Arsenal ni kuudhalilisha mchezo wa mpira.
 
Hello Mourinho people,

Nawatakia mafanikio watu wangu. Kwa sasa naenda mapumziko mafupi kidogo kwenye huu mtandao.

Nitawamiss sana watu wangu.

#R.I.P Mr. President.

H.E._DR_MAGUFULI_WEB_VERSION.jpg
 
Arsenal buana. Nyie mtaendelea kuwa katimu kadogo tu. Kwamba hamjui connection kati ya Harry Kane na Arsenal! Hamjui pia kuwa Doherty alikuwaga shabiki wa Arsenal kabla hatujamsajili na yeye kufuta hizo tweet hadharani!

Hii timu ya Wenger hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndiye unasema mnachukua Europa na EFL?

Nilisema ningekua Mou ningefocus na ligi ni fresh anajielewa
 
Furaha yako itakamilika mwishoni mwa msimu. Pale Mourinho atakapokuwa na kikombe (Europa/EFL). Wewe utakuwa na modern football aka attacking football but trophyless.
kabisa mkuu naona Mou kocha bora kbs EPL kwa sasa anaenda kubeba EUROPA LEAGUE, kisha anaenda kumpiga CITY fainali ya EFL halafu sisi tunaopenda attacking football tutabaki kumpongeza kwa mafanikio aliyoyapata.....'ni ngumu sana kucheza mpira rahisi lkn rahisi sana kucheza mpira mgumu'
 
Anabeba EUROPE LEAGUE ya ndodndo Cup au ipi hiyo?
 
Yani kweli nyie ni matakataka, mnapigwa hadi na Arse8???
si bora hao Arsenal mkuu kwenye ramani ya dunia ya soka wapo,wamepinduliwa matokeo na wakulima huku yan mimi kutazama timu anayofundisha Mou siwezi kbs japo pia sishangazwi na baadhi ya wanaopenda style yake japo ni 1/10 maana hata kwenye vyakula binadamu tunatofautiana kuna wanaokula nyanya chungu na kuipenda ladha yake wkt mm siipendi kwa ladha yake hiyohiyo 'CHUNGU'
 
Hili thread imekuwa tamu sana japo timu haifanyi vizuri. Mijadala inaenda deep. Ni hoja juu ya hoja.

Pongezi kwa wajumbe wote kwa kifikisha post 2000.

Labda sasa mods wataanza kufikiria kutupa heshima tunayostahili watuweke pale juu kwenye sticky threads.

Au watasubiri mpake tuchukue vikombe vyetu tulivyokatia hakimiliki msimu huu: Europa na Karaghabaho!

#COYS
Yaan spur wanahitaji wapewe yule mganga wa Simba yaan ni hovyo kabsaa
 
Back
Top Bottom