Hongereni sana naona njia ya robo fainali nyeupeWera weraaaaa!.
Huku ngoma inogile, hatua ya kwanza nimepita tena kwa kushangaza wengi naongoza kundi. Sasa hatua hii ya pili inabidi nijizatiti maana huku kwa walume.
Naamini leo nina sala za watu wengi wakinitakia kila la kheri ktk mechi ya leo, kwa sala zenu naweza kumuotea huyu simba aliyelowana na kummaliza kabisa.
Wanasema Kheri ya nusu shari kuliko shari kamili, ila hizi mbeleko nyingine mh!...Shedafa,
Sina mengi leo, mmecheza WOTE wapinzani wangu wa jadi.
Wangeshinda Chelsea kusingelalika, kadhalika mngeshinda Spurs oooohh, si kelele hizo.
Anyway...
Asante sana Peasant almaaruf mzee wa Chelsea, nami nakutakia X-mas njema wewe na wote uwapendao. Mungu akujalie kila la kheri na mafanikio katika kila utendalo katika X-mas hii.
Tumekuwa wateja siku nyingi ndio maana, lakini taratibu uteja tunauacha. Leo droo kesho .........!. Halafu kumbe Questt unaweza utangazaji, yaani kama yule wa BBC!Spurs na nyie hovyo kabisa badala ya kucheza soka mnaogopa majina ..... ..... ..... hopeless boys.