Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Nipo mbali mkuu, huwa nachungulia kama mgeni. Lakini leo uzalendo umenishinda kama jamaa nilionao wakinistukia basi. Najiexpose, ushindi mzuri bwana. Nipeni hongeera zangu basi!

Hongera zako mkuu, jazi nzuri.
 
splash-nutters_1252727a.jpg

Shedafa Hongereni .... .....
 
hii nyumba wenyeji wanaonekana wakati wa raha tu:coffee:
 
hii nyumba wenyeji wanaonekana wakati wa raha tu:coffee:
Kwani wakati wa shida ni upi shosti, hebu nikumbushe kidogo!.
Wakuu nimerudiiiiiiiiiiiiiiiiii
Nawashukuru wale wote walionitakia mema na kunipa hongera wakati wa ushindi muhimu.
 
Kwani wakati wa shida ni upi shosti, hebu nikumbushe kidogo!.
Wakuu nimerudiiiiiiiiiiiiiiiiii
Nawashukuru wale wote walionitakia mema na kunipa hongera wakati wa ushindi muhimu.

Shedafa karibuuu!...mwaka huu lazima muweke historia. Hamvumi lakini mmo, si ajabu tukawaona kwenye fainali ya Champions League - Wembley!!!
 
Shedafa karibuuu!...mwaka huu lazima muweke historia. Hamvumi lakini mmo, si ajabu tukawaona kwenye fainali ya Champions League - Wembley!!!
hawa jamaa walivyo na kismati wanaweza kunyanyua kombe hivi hivi.
 
hawa jamaa walivyo na kismati wanaweza kunyanyua kombe hivi hivi.
Du, kishakuwa kismati tena!. Mkuu huoni juhudi zetu pale uwanjani?, tunajituma kwa kwenda mbele ila si uongo Mungu akitushikia tukamtoa AC Milan itakuwa tamu kweli kweli. Kuwa watoa wababe wawili wa ITALY si mchezo.
 
reportpic-dj12_12__1257286a.jpg

BITE NIGHT ... DJ Campbell celebrates hitting Blackpool's second goal ... ...

Poleni wakuu naona visa ya Bundi imeleta utata khe khe kheeeeeeeeeee
 
Haya bana!. Unajua, imebidi nijikaze tu kujibu maana yameshaanza malalamiko kuwa hatuonekani mpaka tushinde. Kwa huzuni nimejitokeza.
 
Haya bana!. Unajua, imebidi nijikaze tu kujibu maana yameshaanza malalamiko kuwa hatuonekani mpaka tushinde. Kwa huzuni nimejitokeza.

Usijali ndio mpira huo. Hukuona Wenger alibadilisha kikosi kizima baada ya Barca unafikiri nini? Mchezo unabadilia kabisa ukicheza Europe na mechi za nyumbani. tungekumbana weekend hii lakini tumewaweka kiporo .... .... khe khe kheeeeeeeeeeeeee
 
Mmh!, afadhali hatukukutana. Maana ule ushindi wenu kwa Barca ni nguvu tosha ya kujiamini, ngoja msahau sahau kidogo ndio tukutane ili ukikumbuka mechi iliyopita uniogope ogope kidogo.
 
Shedafa upo .... ..... ... Wolves wanasemaje? Nasalimia tu .. . ...
 
good luck Lads! but kazi mnayo leo:wink2:
 
Du, kishakuwa kismati tena!. Mkuu huoni juhudi zetu pale uwanjani?, tunajituma kwa kwenda mbele ila si uongo Mungu akitushikia tukamtoa AC Milan itakuwa tamu kweli kweli. Kuwa watoa wababe wawili wa ITALY si mchezo.
heheh mkuu si unajua mambo yenu leo mnaifunga inter goli tatu kesho mnafungwa tatu bila na akina blackpool sasa kama sio kismati ni nini?
 
wazee totten wanamnyoa mtu hapa .. Dakika ya 85 bado magoli ni 0-0
 
crouch kafanya faulu zaidi ya 7 naona refa wa leo sio mtoa kadi kama mechi ya wadogo zetu. Dakika ya 88 hapa inaennda
 
kusema kweli mechi ni kali sana na AC milan wana hasira kweli kweli , hawataki kutolewa kijinga.dakika ni ya 90 na naona zimeongezwa 3 hapa . TTHM wanapata kona hapa.
 
robinho anawakosa kosa watu hapa na mpira unapita juu ya mwamba kama cm 10 hivi.
 
dakika Y za nyongeza ndio zimeisha na mpira umekwisha Totenhama wamepita kwa aggregate ya 1-0 ... Shake nao naona wamempiga mtu 2-1
 
Nashukuru Ivuga kwa kufuatilia kwa makini mechi, ilikuwa si mchezo. Jamaa walikomaa ile mbaya, lakini tumekuwa wababe wa Waitaliano kumtoa Inter then Milan si mchezo!. Wale wanaosema tuna kismati na waseme lakini tumekuwa timu ya kwanza toka Premier kuingia robo fainali.
 
Back
Top Bottom