Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Nashukuru Ivuga kwa kufuatilia kwa makini mechi, ilikuwa si mchezo. Jamaa walikomaa ile mbaya, lakini tumekuwa wababe wa Waitaliano kumtoa Inter then Milan si mchezo!. Wale wanaosema tuna kismati na waseme lakini tumekuwa timu ya kwanza toka Premier kuingia robo fainali.

...Shedafa hongera kaka,....bado nipo msibani bana, sikuwa hewani jana! Kama nilivyosema awali, "hamvumi lakini mmo!", ...si ajabu tukashtukia mpo Wembley kwenye fainali!...Hongereni sana.
 
...Shedafa hongera kaka,....bado nipo msibani bana, sikuwa hewani jana! Kama nilivyosema awali, "hamvumi lakini mmo!", ...si ajabu tukashtukia mpo Wembley kwenye fainali!...Hongereni sana.
Pole kaka kwa msiba!. Nashukuru kwa hongera pia, kama ulivyosema yote yawezekana si ajabu kweli watu wakastukia tuko Wembley kimzahamzaha hivi hivi.
 
Kumbe hili jukwaa bado lipo, nimelitafuta weee mpaka nikafikiri limepigwa chini bahati leo nimeliona.
 
Wenyewe mmejificha nini hili jukwaa? ni champions league leo mnacheza lol. 1-0 bila madrid wanaongoza.

Nakukumbusha tu mkuu shedafa manake unaweza kuwa umesahau, si unajua hujazoea kucheza mechi za jumanne na jumatano lool.
 
Naona refa anabania kadi kwa wachezaji wa madrid lakini yuko haraka kutoa kwa spurs.

Half time hapa naona Peter anaweza kuwa cost spurs.
 
hii nyumba wenyewe utawaona wakati wa raha tu vibayeni hivyo:disapointed:
 
Peter Crouch kawaangusha wenzake, ushabiki na unazi pembeni Spurs hawadeserve kipigo kama hiki duh!!
 
Peter Crouch kawaangusha wenzake, ushabiki na unazi pembeni Spurs hawadeserve kipigo kama hiki duh!!

Hapo ndio unadhihirisha upo upande gani ingekuwa Arsenal mngekuwa mnapiga tarumbeta hadi mbinguni, pundits wote wa England wanalia sasa wanatafuta mchawi khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Warudi tu chacha kushindana na Chelsick kwenye Europa cup
 
article-1373755-0B7EC4FE00000578-212_634x459.jpg

Kosa la huyu kijana alienda na visasi khe khe khe kheeeeeeeee
 
Hapo ndio unadhihirisha upo upande gani ingekuwa Arsenal mngekuwa mnapiga tarumbeta hadi mbinguni, pundits wote wa England wanalia sasa wanatafuta mchawi khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Warudi tu chacha kushindana na Chelsick kwenye Europa cup
Wewe umeiangalia mechi au unaongea kama mshabiki wa Arsenal anayeichukia Tottenham?
 
Back
Top Bottom