Tottenham Hotspurs Thread

Hivi kumbe kuna lisredi la hii tim? Naona baada ya kichapo cha jana ndio mwanzo kutoka kwenye Top 4
 
Asante Mtumishi kwa kuweka mambo sawa. Nanyi wote hapo juu ndio wale mnaoitakia mabaya Spurs, mshindwe na mlegee. Kufungwa ni sehemu ya mchezo! Kwa wale wageni wa EPL huyo kushoto ni GAZA au zigzag na kulia ni GARY LINEKER mpooooo!
 
Tatizo huwa mkishinda mnaanza kuongea kuwa you are now better than Arsenal...that's why your every defeat we reflect on your previous comparisons..
Poleni, can't wait for next weekend!
 
Tatizo huwa mkishinda mnaanza kuongea kuwa you are now better than Arsenal...that's why your every defeat we reflect on your previous comparisons..
Poleni, can't wait for next weekend!
Kama ni nyie Arsenal wala hamtupi pressure, ngoja mfungwe mechi 2 tu kama hakuanza kulia kama watoto wadogo na kutupa kazi ya kuanza kuwabembeleza muache kulia. Sasa hivi mnaona kila kitu kizuri kwenu, timu nzuri, kocha mzuri. Ngoja muanze kuchezea kipigo, na bahati nzuri wala kipigo hakiko mbali!.
 
spurs special thread what waste ....
 
Mmh, chuki nyingine bwana!

Nimekuja kuongeza nguvu bwana,....wao wanataka timu zao ziendelee kuwa juu tu,...hao wengine wa Liverpool siku hizi Uefa wanaiona kwa wengine tu. Hawa ndugu wawili wa Manchester wanakwenda kushirika Uefa ndogo na wanyonge, ....what a shame ??
 
Asante sana Joss, watu wengine wanafurahisha kweli. Wana wivu wa chuki, wenzao wana wivu wa maendeleo wao wa chuki. Eti kwa kuwa tumefungwa basi ndio bye bye, kakwambia nani hapa ni kisago kwa vibonde wetu kama kawa tu. Wanajijua, Arsenali, liverpooli kisago tu. Kama kufungwa hatukuanza leo na bado tuko juu, ngoja tumalize viporo vyetu halafu wajitokeze tena. Bahati mbaya hawakawii kuingia mitini hawa.
 
And we should'nt be wondering why it has 19 pages or so. If we have a Spurs thread, I believe even Stoke City need one!

halafu kuna watu humu bwana arsenane ikishinda wanajifanya wanaongea tulia kwa mtolewe na ac milan ndio msajili tena..
 
Haya haya nataka kuumiza watu roho, wale wanaochukia kutuona juu wachukie sana leo. Tumerudi kwenye nafasi yetu tuliyoizoea kama wengine wanavyosema, bado mnalo la kusema?
 
Reactions: Mbu
....mnapasha kiti moto tu hapo nyie,...nyie ligi yenu ni europa!
 
Sijui Newcastle wako wapi ili nao wafungue thread yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…