Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Back to where they belong.Hivi kumbe kuna lisredi la hii tim? Naona baada ya kichapo cha jana ndio mwanzo kutoka kwenye Top 4
Asante Mtumishi kwa kuweka mambo sawa. Nanyi wote hapo juu ndio wale mnaoitakia mabaya Spurs, mshindwe na mlegee. Kufungwa ni sehemu ya mchezo! Kwa wale wageni wa EPL huyo kushoto ni GAZA au zigzag na kulia ni GARY LINEKER mpooooo!
Kama ni nyie Arsenal wala hamtupi pressure, ngoja mfungwe mechi 2 tu kama hakuanza kulia kama watoto wadogo na kutupa kazi ya kuanza kuwabembeleza muache kulia. Sasa hivi mnaona kila kitu kizuri kwenu, timu nzuri, kocha mzuri. Ngoja muanze kuchezea kipigo, na bahati nzuri wala kipigo hakiko mbali!.Tatizo huwa mkishinda mnaanza kuongea kuwa you are now better than Arsenal...that's why your every defeat we reflect on your previous comparisons..
Poleni, can't wait for next weekend!
Hivi kumbe kuna lisredi la hii tim? Naona baada ya kichapo cha jana ndio mwanzo kutoka kwenye Top 4
spurs special thread what waste ....
Hahaha...lolAnd we should'nt be wondering why it has 19 pages or so. If we have a Spurs thread, I believe even Stoke City need one!
And we should'nt be wondering why it has 19 pages or so. If we have a Spurs thread, I believe even Stoke City need one!
Mmh, chuki nyingine bwana!
Asante sana Joss, watu wengine wanafurahisha kweli. Wana wivu wa chuki, wenzao wana wivu wa maendeleo wao wa chuki. Eti kwa kuwa tumefungwa basi ndio bye bye, kakwambia nani hapa ni kisago kwa vibonde wetu kama kawa tu. Wanajijua, Arsenali, liverpooli kisago tu. Kama kufungwa hatukuanza leo na bado tuko juu, ngoja tumalize viporo vyetu halafu wajitokeze tena. Bahati mbaya hawakawii kuingia mitini hawa.Nimekuja kuongeza nguvu bwana,....wao wanataka timu zao ziendelee kuwa juu tu,...hao wengine wa Liverpool siku hizi Uefa wanaiona kwa wengine tu. Hawa ndugu wawili wa Manchester wanakwenda kushirika Uefa ndogo na wanyonge, ....what a shame ??
And we should'nt be wondering why it has 19 pages or so. If we have a Spurs thread, I believe even Stoke City need one!
Sijui Newcastle wako wapi ili nao wafungue thread yao!