Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

HT
Kane[emoji460]
Son[emoji460][emoji460]
spursofficial-20191022-0003.jpeg
 
Tunawasubiri OT tuje tuwaonyeshe kuwa sisi ni wababe wenu wa wakudumu
Kabisa mkuu,na kama pale wanaona pamejaa wanyofoe mmojawapo kati ya United,Arsenal au Chelsea maana hawana hadhi ya kiwa hapo kwa sasa ,

Kutesa kwa zamu na hii ni zamu yetu....
 
Mourinho hii timu alikuwa anaitamani sana,chambuzi zake kuhusu Spurs zilikuwa zinajieleza, Naona kacheza kama pele now.
 
ataanza nunua kila mchezaji kama kichaaaa na changushangaza wakawapa gharama kubwa na asiwape mafanikio huyo ndyo mourinho
 
Back
Top Bottom