OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Ingieni mkalipize kisasi kufuatia kupoteza game iliyopita.Nyie Wiki ijayo mtajua hamjui.
Mbele ya Werner, Ziyech na Abraham kila goti litapigwa
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
ahaa nimekumbuka mdau ni mara moja ndani ya miaka 30 spurs ameshinda stamford bridgeMkuu bado upo wapi last time msimu wa juzi hapa chini ya Pochettino huu uteja tayari umevunjwa.
Game mlikufa 3 - 1 delle aliwaweka 2 Eriksen akaongeza ya mwisho nje ya box long range.
hakika mdau,wanakuja machinjioniNyie Wiki ijayo mtajua hamjui.
Mbele ya Werner, Ziyech na Abraham kila goti litapigwa
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hatari sana huyu raia
Ndiyo leo hiyo mjomba. Leo lazima mshike adabu.[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi siyo kama wale wa Arsrnal
Ziyech leo atapelekwa likizo na bwana mdogo Reggy kama ilivyokuwa kwa Mahrez wikend iliyopita. Atakayecheza kushoto atazimishwa na Matt Doherty au "anko kidevu". Baada ya hapo kuna Son/Kane/Ndombele/Lo Celso wa kuwa-destroy: Mmeisha.Nyie Wiki ijayo mtajua hamjui.
Mbele ya Werner, Ziyech na Abraham kila goti litapigwa
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Noma mzee. Hiyu ni zaidi ya Tanzagiza.[emoji23][emoji23][emoji23]
Jose akitaka mchezaji mpe. Tulipofanya deal na Southampton wengi walidhani tumepigwa wakidai tumepoteza mchezaji mzuri Kyle Walker Peters na kuchukua average player.Hatari sana huyu raia
😂😂 Mkuu muda utasema nan atashika adabu kwa sababu najua leo Mou anakuja kutafuta drawNdiyo leo hiyo mjomba. Leo lazima mshike adabu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi leo ni ya pili.ahaa nimekumbuka mdau ni mara moja ndani ya miaka 30 spurs ameshinda stamford bridge
Kwa kikosi hiki Mou anajua anaweza kushinda mchezo wowote popote. Na keshawataarifu wachezaji kuwa ubingwa unashindika. Jose anapotafuta ubingwa hachagui mechi za kutaka kushinda.[emoji23][emoji23] Mkuu muda utasema nan atashika adabu kwa sababu najua leo Mou anakuja kutafuta draw
Mkuu ina maana msimu uliopitaalikua hatafuti ubingwa?Kwa kikosi hiki Mou anajua anaweza kushinda mchezo wowote popote. Na keshawataarifu wachezaji kuwa ubingwa unashindika. Jose anapotafuta ubingwa hachagui mechi za kutaka kushinda.
Kikosi cha msimu ule ilikiwa majaaliwa kupata ushindi ila this time ni kama jamaa anadhamira kabisa ukiangalia jitihada alizowekaMkuu ina maana msimu uliopitaalikua hatafuti ubingwa?
Ndiyo. Hilo lilikuwa wazi kabisa. Baada ya kuanza vibaya na Poch, yakaja majeruhi ya Son & Kane timu ikawa inapigania survival angalau icheze michuano ya Ulaya.Mkuu ina maana msimu uliopitaalikua hatafuti ubingwa?
Timu ilikuwa imejengwa kuzunguka Kane na Son hivyo walivyoumia wote kwa kweli ilikuwa ngumu sana kushinda chochote.Kikosi cha msimu ule ilikiwa majaaliwa kupata ushindi ila this time ni kama jamaa anadhamira kabisa ukiangalia jitihada alizoweka
Naona mna maneno mengi sana sasa naomba nione uhalisia leo hii darajaniNdiyo. Hilo lilikuwa wazi kabisa. Baada ya kuanza vibaya na Poch, yakaja majeruhi ya Son & Kane timu ikawa inapigania survival angalau icheze michuano ya Ulaya.
Ila baada ya Levy master class kwenye dirisha lililopita sasa Jose anacho kikosi ambacho kwa uwezo wake kinapaswa kuwa na uwezo wa kugombea taji lolote lile kati ya haya tunayogombea (Europa inaeleweka tutachukua).
Game na Chelsea nadhani ndio ngumu kuliko zote, msimu uliopita Mou aliingia kati kati timu ikiwa haina msimu mzuri. Kwa sasa kasajili na wachezaji wapya hivyo ushindani ni mkubwa zaidi.Mkuu ina maana msimu uliopitaalikua hatafuti ubingwa?