Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Noma sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mchambuzi mwandamizi unayedhani Mourinho anamkubali Moura ilhali hapendi kumuanzisha hata kwenye mechi za makombe ya mbuzi. Enjoy uchambuzi wako wa viwango mkuu, tuache sie akina Edo Kumwembe.Nimegundua wengi humu ni wachambuzi aina ya Edo Kumwembe, hamjui Moira kabisa. Hivi Tottenham kufungwa na Liv Pol na Leicester ndio mnakosoooooa. Yaani wewe wa Madale unajua zaidi kuliko Mournho. Liv na Leicester ni timu za kiwango sana japo pia zingeweza kufungwa na Tottenham.
Sawa EdoHaya mchambuzi mwandamizi unayedhani Mourinho anamkubali Moura ilhali hapendi kumuanzisha hata kwenye mechi za makombe ya mbuzi. Enjoy uchambuzi wako wa viwango mkuu, tuache sie akina Edo Kumwembe.
Hizo hesabu watakuwa wametumia four figure, wakitumia kaluo ubingwa tunao.Nyie kulingana na esabu zilizopigwa, top itakuwa mtihani kwenu. Jipangeni msimu ujao mshiriki Europa tena.
Sergio Aurier hayuko kwenye kikosi au kazidi kuchomesha?Niaje watu wangu wa timu kubwa pale London. Hii timu yetu ambayo bado usajili wa wachezaji wawili tu January itwae ubingwa epl msimu huu.
Leo tunacheza na wale "mbweha" mnamo saa 22:15 na misheni ni moja tu, Jose kuhakikisha anampiga yule Mreno mwenzake kisha ndiyo aanze kutupa stori zingine.
Kikosi iko fiti. Tunaye majeruhi mmoja tu kikosi cha kwanza; Giovani Lo Celso. Lamela is back people. Tutegemee atupe uhai kwenye wing ya kulia. Bale inabidi aanze kuonesha ni kwa nini tulimsajili.
Kuhusu Reguilon na buy back clause ya Real Madrid msiwe na hofu, haondoki. Iko hivi; Tulimsaini kwa £28m na Real wanaweza kumnunua ndani ya misimu hii miwili kwa £43m! Hata hivyo ni mchezaji atakayeamua kubaki au kuondoka pale Real watakapoleta choko. Kwa mujibu wa gwiji #FabrizioRomano dogo yuko confotable pale Spurs na anataka kubaki. Hivyo tuvute viti tupige glass (za juice).
Kikosi tarajiwa: 4 2 3 1
Hugo
Reguilon, Dier/Rodon, Toby, Doherty
Hojbjerg, Sissoko
Sonny, Ndombele, Bergwijn
Kane
Huyu kidevu sitaki hata nimuoneSergio Aurier hayuko kwenye kikosi au kazidi kuchomesha?
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kuhusu Aurier kuna mambo mawili; Kwanza kachomesha sana acha apumzike. Pili Doherty ni wing back mzuri kuliko Aurier (Aurier ni mzuri zaidi ya Doherty kiulinzi japo anachomesha sana).Sergio Aurier hayuko kwenye kikosi au kazidi kuchomesha?
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Ha ha haaa. Anko kidevu anatengeneza moja, anachomesha mbili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu kidevu sitaki hata nimuone
Kwa nini D Sanchez kakaa kati kwenye back 3 na kamweka benchi Toby? D Sanchez ndiye beki wetu mwenye kasi zaidi anayeweza kimbizana na akina Troure na Neves dakika 90.Kikosi like, ...
View attachment 1660867