tycoonff
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 925
- 1,306
Tatizo D sanchez mapepe sana. Hachelewi kuplay against us. Phil jones wa spurs.Kwa nini D Sanchez kakaa kati kwenye back 3 na kamweka benchi Toby? D Sanchez ndiye beki wetu mwenye kasi zaidi anayeweza kimbizana na akina Troure na Neves dakika 90.
Jose ni taasisi ya ukocha na Levy akimpa anachotaka atamkabidhi vikombe vyote anavyotaka.