Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Niaje watu wangu, leo tunacheza na wakulima Wycombe. Leo Mou kaweka kikosi cha pili like, ...
...
Screenshot_20210125-224807.jpg
 
Hawa Everton ni kibarua kipevu ila naamini nao hawachomoki.
Everton tutawapiga tu. Tatizo ni kwamba ili tupate matokeo ni lazima tutumie kikosi cha kwanza hata kwenye vimechi vidogo kama kile cha jana. Hivyo huenda Jose akajikuta anapaswa kufanya uamuzi mgumu wa kuitoa sadaka kabisa epl.

Hawa akina Moura, Lamela, utoto mwingi sana hawa veteran.

Bale kanifurahisha sana jana. Ameanza kuja.

Next stop: Alhamisi tutacheza na mgonjwa, pointi tatu rahisi kwa mtazamo wangu.
 
Back
Top Bottom