Mbeya City Spurs I
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 482
- 1,025
No. 10 ni NdombeleKikosi vs Fulham: 4 2 3 1
Hugo, Reguilon, Dier, D Sanchez, Aurier, Hojbjerg, Winks, Sissoko, Son, Kane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No. 10 ni NdombeleKikosi vs Fulham: 4 2 3 1
Hugo, Reguilon, Dier, D Sanchez, Aurier, Hojbjerg, Winks, Sissoko, Son, Kane
Mods wanauchukulia poa. Mwisho wa msimu huu naamini wataupandisha pale juu.Huu Uzi mbona hautupwi kule juu
Kabisa hasa right wingSpurs waongeze mshambuliaji mmoja
Right wingers wetu ni vituko vitupu: Bale, Lamela, Moura, Jack Clarke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa hasa right wing
...Niaje watu wangu, leo tunacheza na wakulima Wycombe. Leo Mou kaweka kikosi cha pili like, ...
Mnatokaa leoo vilazaa wakubwaa nyieeHT: 1 - 1
Hawa madogo walitaka kutudhalilisha hapa ila sasa kila kitu under control.
Toka huko usingizini.Mnatokaa leoo vilazaa wakubwaa nyiee
Hawa Everton ni kibarua kipevu ila naamini nao hawachomoki.FT: 1 - 4
Sasa tutakipiga na Everton last 16
Everton tutawapiga tu. Tatizo ni kwamba ili tupate matokeo ni lazima tutumie kikosi cha kwanza hata kwenye vimechi vidogo kama kile cha jana. Hivyo huenda Jose akajikuta anapaswa kufanya uamuzi mgumu wa kuitoa sadaka kabisa epl.Hawa Everton ni kibarua kipevu ila naamini nao hawachomoki.