Uko sahihi kabisa mkuu..
Mimi ni shabiki mkubwa sana wa spurs since 2008. Lkn kuna mambo ambayo naona hayako sawa kabisa kw spurs y mourinho.
1. Mis-trust kwa baadhi ya wachezaji: kuonyesha kuto kumwamin mchezaji kunasababisha poor perfomance. Angalia Dele, Tobby, na wengine kama hao wako tofaut kabisa na wale waliocheza chin ya poch.
2.mbinu mbovu, zisizoendana na mpira wa sasa: hii nafikil mkuu hapo juu kaielezea vzr kabisa: siku hz ili ujilinde ni ushambulie au umiliki mpira otherwise ndo hzo kila siku "individual mistake" mara watu wamesababisha penalti au wameji-score.
3.Squad update: Ili timu iwe vzr lazima uweze kubadil kikosi kadri uwezavyo. Sio kukaa na wachezaj hao hao muda mrefu na hasa wale ambao hawakupi matokeo ya kuridhisha. Man city na chelsea zinafanikiwa sana kweny hili.
4. Team formation and organisation. Leo una formation hii, kesho hii, leo mchezaji fulan kaanza kesho mwingine. Timu haiwez peform. Liverpool wamefanikiw vzr sana kweny hili.
5. Key players. Bado timu inakosa key players hasa kiongoz kwenye defence, attacking (hatuna typical no 10 tokea eriksen atoke). Tunahitaji mtu kama Grelish atakaye kuw na uwezo w kutengenez nafas nyingi, kuongoza mashambuliz, na kumiliki game.
Mourinho akiendelea hii poor peformance, na baadhi y migogoro na wachezaji. Haki ya nani anaweza asiwepo hata fainali y carabao. Levy hawez kubali 2years team isicheze champions league.