Kiuhalisia timu ilikuwa Bora sana , Dele Ali+ Son+ Kane + Moura
Mourinho ameleta watu wake wa hovyo hovyo , wanaogopa mpira wanakimbia kama chimpazee, hao akina sisoko , Ndombele na huyo central defender hovyo kabisa , CD ndo kasababisha magoli mengi Sana mana hata kutuliza mpira hajui , .....
Jana kasababisha penati ya kisenge Sana , mechi ya Liverpool kasababisha magoli yote yeye mana kutuliza mipira hawezi ......
Jana dk 30 za mwisho akina Moura wamekiamsha Sana alaf jamaa hawaamini sjui anataka mijitu yake akina Ndombele , sjawah kuwaamin waafrika Mimi tena wanaotembea na visado vya ugali tumboni.. Delle Ali bado ni mtu mhimu Sana kwenye hii timu , hakuna haja ya kuwatse money kutafta mtu mwingine....aah pona pona ya Mou amalize top four na achukue Europa , au vikombe viwili vya mbuzi FA na kile kingine , tofaut na hapo atimuliwe tuu