Tottenham Hotspurs Thread

shida kubwa ni mbinu za bwana Jose timu kama Spurs inafungwaje mechi tatu kirahisi hivi,mi sitaki kuamini kuumia kwa Kane ndo kufanye timu imalize mechi na mashuti mawili tu yaliyolenga lango.itoshe kusema tu Man City wako pale sababu ya Pep,Liverpool wapo pale sababu ya Klopp hata Spurs wapo hapo walipo sababu ya Mourinho.mpira waliocheza leo Spurs hasa kipindi cha kwanza kama watacheza kwnye fainali na City basi itawekwa record mpya ya magoli siku hiyo.
 
Timua huyo mshenzi kocha kwanza kaharibu Soka zuri la Spurs
 
Kiuhalisia timu ilikuwa Bora sana , Dele Ali+ Son+ Kane + Moura
Mourinho ameleta watu wake wa hovyo hovyo , wanaogopa mpira wanakimbia kama chimpazee, hao akina sisoko , Ndombele na huyo central defender hovyo kabisa , CD ndo kasababisha magoli mengi Sana mana hata kutuliza mpira hajui , .....

Jana kasababisha penati ya kisenge Sana , mechi ya Liverpool kasababisha magoli yote yeye mana kutuliza mipira hawezi ......

Jana dk 30 za mwisho akina Moura wamekiamsha Sana alaf jamaa hawaamini sjui anataka mijitu yake akina Ndombele , sjawah kuwaamin waafrika Mimi tena wanaotembea na visado vya ugali tumboni.. Delle Ali bado ni mtu mhimu Sana kwenye hii timu , hakuna haja ya kuwatse money kutafta mtu mwingine....aah pona pona ya Mou amalize top four na achukue Europa , au vikombe viwili vya mbuzi FA na kile kingine , tofaut na hapo atimuliwe tuu
 
Spurs ni level za akina Fulham na QPR wewe..
Unaijua QPR kwanza??
Mourinho anaifahamu vyema Chelsea.
Msimu huu tumelamba point zetu nne kutoka kwenu.
Asanteni matakataka
Haki yenu kuongea. Maana pointi mlizibeba, japo kwa goli la zawadi.
 
Kwa hyo wew jukwaa ni la kwako boss , Mpira gani unajua we?? Una miaka mingap Kwanza?? Mbna unaonekana teenager Sana na ujinga mwingi mwingi, et hii thread ni special Kwa watu sjui watu gan , na was was matokeo yako ya form four ulipata zero ..... Au wewe na hao Wana wako ndo mpo official assigned kuchambua mechi za spurs?? hili ni jukwaa huru , sina haja ya kuangalia post za hao unaowaita Wana, wakat timu inafanya hovyo currently ,timu inafungwa mara tatu mfululizo ikiwa na on-target moja sjui mbili ndani ya mechi tatu ....

Lazima tukosoe tuu ,na kocha akizingua zaidi lazima afukuzwe tuu hakuna namna , wachezaji hawajui kutuliza mpira , back pass za hovyo hovyo ,
 
Duuh,,Ndombele mbona anaucheza mwingi tu recently?..hivi unaangalia mechi kweli?

Ishu ya Spurs ni kukosekana kwa Reguilon,Kane..na pia kukosekana kwa Centreback partneship ya kueleweka..huyo Dier hana tofauti na Jones wa United.

Morali + confidence pia ipo chini..kazi ya kocha hii
 
Duuh,,Ndombele mbona anaucheza mwingi tu recently?..hivi unaangalia mechi kweli?

Ishu ya Spurs ni kukosekana kwa Reguilon,Kane..na pia kukosekana kwa Centreback partneship ya kueleweka..huyo Dier hana tofauti na Jones wa United.
Dier kimeo mkuu, Ndombele too lazy
 
yaan huyo mwamba anajikuta kama ana hisa pale Spurs ukiongea ukweli anachukia,baada ya kuachana na Jose ilibidi bwana Levvy alete kocha ambae hapishani sana aina ya mpira na wapo wengi tu kama vile kocha wa LYON,AJAX,LEIPZIG,LEICESTER nk.wao wakaangalia uzoefu wakachukua yule mropokaji mwishowe anawafundisha kucheza soka la kombolela muda wote wanajificha.Sio siri nilimtazama Son pale Anfield alikaba mpk alitepeta,pia rejea mechi ya jana Son alicheza chini sana yaan muda mwingi alitumia kumkaba James ambae alikuwa huru mno sababu ya Spurs kuwa chini kwa dk zaid ya 70.Jose ana mpira mbovu pia kaishiwa mbinu na kwa aina ya makocha waliopo EPL kwasasa atapata shida sana sio kwa Spurs tu hata apewe City atapigwa kila leo.
 
Nashukuru mkuu kwa kunisaidia kumwelewesha huyo mchambuzi wa soka aliyenishangaza kwa stori zake zinazoonesha hafuatilii mchezo. Huu mchezo ni mzuri sana haijalishi ni matokeo gani timu zetu zinapata.

Ila mimi hudhani kuwa mchezo unanoga zaidi tukiwa well informed. Kwa mfano, hatutarajii hapa jukwaani uje mkuu Darmian eti uanze kuja kumlaumu kocha wako OGS kuwa eti hampangi Mata kwa kuwa wana bifu. Tutajua uko less informed na tutakuchana!

The game is beautiful and taking a new shape every new match day. Lets enjoy the show.
 
Mkuu mizuno naomba nikuhakikishie kuwa nakubali sana post zako na za wengine pia. Ubishi wala haumaanishi chuki wala kwamba najua sana.

Ki ukweli sipendi kuona mtu analeta kitu ambacho kinaonesha hana info yoyote zaidi anataka kupotosha. Wala isichukuliwe kwamba mara zote tunapobishana huwa inakuwa chuki. Nope.

Ila inapokuja mtu na kusema eti Mourinho hampangi Delle Alli kwa kuwa ana bifu naye! Kwa mimi ambaye nimeangalia kila dakika ya michezo ya Spurs misimu hii miwili na ninajua namna ambavyo Delle Alli mwenyewe anajua tatizo liko wapi na anafanya nini kulitatua unategemea nitafurahia opotoshaji tena wa makusudi mkuu? Hata ungekuwa wewe ndiye shabiki usingefurahi.

Mtu anayekuja hapa kusema Ndombele ni mvivu ina maana hafuatilii nini kinaendelea. Kwa sababu ukweli ni kwamba Ndombele wa sasa amebadilika. Anacheza kwa ajili ya timu na anaweza mpaka kumaliza dakika 90 kitu ambacho msimu uliopita hakikuwezekana.

Samahani kwa kutoeleweka na kuonekana mbishi kupita kiasi.
 
Huyo dogo ana Tabia za form one , ile ukiwa unajua majina ya wachezaji wote bas wewe ndo unajua mpira , mara nyingi mijitu ya namna hii mkicheza ndondo ukampasia mpira anakimbiza af anapiga nje😋......

Hii ipo waz mpira wa sa hv tunaangalia current situation ya timu na sio previous stuation, timu inapopoteza mechi tatu mfululizo tunaanza kujudge uwezo wa kocha mpak wa mchezaji mmoja mmoja , mechi tatu mfululizo dier anachomesha timu , Ndombele amekuwa completely useless , Kwa hyo tusiseme, ?? Na tukisema et inakuwa hatufatilii..., Tufatilie nn timu inafungwa , au tusubiri Kane arudi ? Si timu itakuwa ishashuka daraja sasa...hali hii imemforce kocha Jana kumtoa Ndombele na timu ikapata uhai dk 25 za mwisho , na still nasisitiza Delle Alli angekuwemo angeleta impact kubwa zaidi..... Mou anataka wachezaji wote wakabe na mipira yake ya kupaki basi kitu ambacho Alli hawezi , Alli ni mchezaji makini tuu na kumweka benchi ndo kumepunguza ubora wake na hii imetokea Kwa Son sa hv naye amekuwa wa kukaba hata accurate za pasi zake zimepungua sababu ya mda wote unakimbia kimbia kukaba ....

Mourinho aache kutumia uzoefu , timu inahtaj matokeo , asipobadilika na kuwa positive atafukuzwa soon Tu .....Dier ndo kabisaaa hamna defender pale , aheri Onyango wa Simba ....
 
Mkuu leo umekuwa mkweli pengine kuliko siku zote. Bila mkoba unaoeleweka bado Spurs wata struggle, Eric Dier ni mtambo wa penalties ule. Pia Spurs inabidi watafute mfumo/ wachezaji ambao wanaweza kushinda game hata bila ya Harry Kane kuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…