Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Nadhani unaamini watatwaa ndoo... Ila Leicester city wananafas kubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu pamoja wengine kuanza kutambua kuwa Spurs mean business!.
Mdau usisahau sasa sio ligi ya top four tena, kwa sasa ni top six. Sasa sijui nyie mtamaliza msimu mkiwa nafasi gani.Top ten wala si ya kuwekea malengo, tumekuwa humo mara nyingi. Kumbuka sisi ni moja ya timu chache (nafikiri hazizidi 5) ambazo hazijawahi kuikosa premier toka iwe premier. Matumaini yetu mwaka huu ni 4 bora, ni lazima tushushe kigogo kimoja. Ila naona kuna wanaotaka kuja na mbinu chafu, wanataka kutubomoa kama mwaka jana. Tumewapa Babatov na mwaka huu tena wanataka, hawaoni pengine!.
Motto wa spurs nadhani bado hujakushtua toka usingizini hadi sasa.Mdau usisahau sasa sio ligi ya top four tena, kwa sasa ni top six. Sasa sijui nyie mtamaliza msimu mkiwa nafasi gani.
Welcome Wembley stadium(2017-2018)Wapi wazee wa Tottenham???
Karibu wembley stadium msimu huu.Wenyeji mpooooo
Mwizi anakimbizwa mchana kweupe nasubiri waliokuwa wanaishambulia spurs toka mwanzo wa uzi.Taarifa kwa wadau!
TUNAFUKUZA MWIZI KIMYA KIMYA!
Welcome Wembley stadium(2017-2018)
Mkuu kwa game ambazo tumekwisha cheza naona game na liver (premier league) ndio tumeubikiri kwa goal nyingi huu uwanja sasa naona ni mtelezo.Chama la Wana, lkn naona kama tunateseka sana tukiwa Wembley sijui lini tutauzoea huu uwanja