Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Hahahaha!. Mwenye ubavu wa kusema wiki hii ni Livepool peke yake, wengine wote yamewakuta kama mimi. Hata hivyo sisi hatujasema tumo kwenye mbio za ubingwa, tunajua kocha wetu ni wa usajili si wa kuchukua kombe kama hujui waulize Chelsick!
 
vijana hawajazoeana vizuuri wale,timu ni nzuri saana...totenham tunabeba mzgoo,kwan sjaona tmu inayokuwa na kiwango kikuuubwa lyk tot.
 
nilikuwa napita tu humu jamii forum sikutaka kuwa member hata siku moja ila leo nikaona tottenham thread nikadata kwanza na kuchukua jukum la kuwa member wa jf fasta coz nimejikuta nna mapenz mazito na hii tim kwa siku nyingi na marafiki zangu wananicheka wananiambia ndo shabiki peke yangu wa spur tz nzima na leo napata wenzangu,

ONYO KWA ARShOLEs
huu ndo mwaka wa kuvunja miiko kwa spurs kaeni tyr na washaanza kwenye usajili mmeona
…..#Daaaaaddeki! mmemyuti kimyaaaaaa……………………..!
yaani mnarudi kinyume nyume kama ile ngoma ya Lizombe vile
 
Tot leo walishindwa na counter attack, mpira walijaribu kucheza lakini goli la mwanzo liliwavunja nguvu, Man city walicheza counter attack na kuhakikisha hawapotezi mipira kirahisi wanaposhambulia zaidi kwenye wings
Ligi ngumu safari hii mara ya mwisho Tot kufungwa 6 ni mwaka 1998 walipofungwa na Chelsea 6-1 kama kumbukumbu zangu ziko sahihi
 
huku kwa watani, nashindwa hata nianzaje kuwaonea huruma aisee....dah!!!! poleni sana kwa yaliyowakuta
 
Sijui msimu huu tutafurahi, au ndio mambo yaleyale!. Raha yangu itakuwa siku tutakapofuta uteja kwa Man City, yote tukose lakini tujikomboe tu.

Huyu kocha kipimo chake ni hicho, amfunge Man City basi.!
 
Poleni...ila mjipange sasa!! Sita mtungo si haba

ha haha Sizinga unawacheka wenzako? wewe mwenywe tulikupiga 6-0 umesahau? hawa madogo wa Spurs tukawapiga 4-0..msimu huu tunaendelea tulipoachiwa kuwachapeni mwanzo mwisho..

salaam humu ndani?
:A S-eek:
 
Ila nimempenda kocha huyu hana majigambo, anaenda kimya kimya. Kama vitu vyake vile akivihamishia na hapa, tunaweza kutabasamu msimu huu.
 
Wow mwanzo mzuri, West Ham walikuwa moja ya wababe wetu msimu uliopita. Kupata point 3 kwake ni dalili za kufuta uteja msimu huu.

Go Spurs go!
 
Wow mwanzo mzuri, West Ham walikuwa moja ya wababe wetu msimu uliopita. Kupata point 3 kwake ni dalili za kufuta uteja msimu huu.

Go Spurs go!

Mkuu wewe kwa utoro tu umevunja rekodi, chacha jana mmeshinda, naona huyu ni kocha mzuri kidogo usitoroke tu tena ... ... .. ... .khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mkuu wewe kwa utoro tu umevunja rekodi, chacha jana mmeshinda, naona huyu ni kocha mzuri kidogo usitoroke tu tena ... ... .. ... .khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Yataka moyo, kufungwa kubaya. Ukiona thread inaendelea bila ya kuyumba hata kama wamefungwa ujue mwenye hiyo thread si mpenzi wa timu hiyo.
 
Kama ligi inaisha leo sisi mabingwa, mmetazama msimamo lakini. Tupo juu!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu si umeona eeh, tunatisha, lakini uwanjani. Kuna wanaotisha kwenye pochi, unamnunua Di Maria mapesa yote haya si uchizi huu!

Di Maria huyu huyu au mwingine, kweli mtani kachemsha, lakini bora aende huko angekuwa yule babu angekuja kutubomolea timu yetu. Nendeni huko huko mkavunje rekodi ya pochi!
 
Back
Top Bottom