DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Haya ngoja niifufue huu uzi, ingawa sina uhakika kama nasi tutavuma mwaka huu pamoja na usajili wa kufuru tuliofanya. Mheshimiwa Mbu rafiki yangu, ombi lako nimetimiza.
kaka una moyo kama mwosha maiti!