Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

hii timu hata siielewagi inashindania nini hadi muda huu hata carabao cup hawawezi kubeba ajabu nayo inahesabiwa kama timu ngumu level za wakina west ham tu
 
Robo fainali msimu uliopita dhidi ya Bayern Munich

hakuna timu duniani isiyoshinda kwa magoli ya hovyo ma refa ni binadamu madrid misimu mi 3 ya nyuma amekuwa mzur sana uefa hakuna timu iliyokuwa kwenye ule ubora ulaya nzima.
 
Back
Top Bottom