Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Duh naona everton wamerudisha aisee 2-2 Cahill
 
_47172963_beckford_getty766.jpg



Watemi wa Manure wakiwaliza Spurs
 
...shedafa upo? nakusalimia tu ndugu yangu.
Naangalia televisheni hapa,

Spurs 1 - 1 Leeds United
(FA Cup)











0
 
Kula 5 mmbebabox!
Mngepatikana kama wewe 2 tu, maisha yangu yangekuwa ya raha sana!

the only team i like in london ni SPURS,i do watch their games whenever i get a chance.
 
the only team i like in london ni SPURS,i do watch their games whenever i get a chance.
Safi sana!
Watu waliitabiria mabaya wee, mpaka sasa wamenyamaza kimya. Najua kimoyomoyo bado wanaitabiria mabaya, walisema hatufiki mwezi wa 10, wakasema 12 na sasa tupo March bado ni washindani. Napenda niwakumbushe wanajamvi kuwa SPURS tuna dhamira ya kuwa 4 bora, niliwaambia mapema ligi inaanza na sasa inaelekea mwisho narudia.
 
hongereni kwa kuwachapa hao vilema wa emirates,hope mtawafunga CHELSEA,though i cant see that happen!
Asante mkuu, nami naomba tuweze kufanya yasiyowezekana. Tunahitaji nafasi ya nne.
 
COME ON SPURSSSSSSSSSSSSSSS..............we've done u a favour by beating man city,now its your turn beat the arrogant CHELSEA......................
 
COME ON SPURSSSSSSSSSSSSSSS..............we've done u a favour by beating man city,now its your turn beat the arrogant CHELSEA......................

...kwakweli, hata mimi leo nawaombea dua Spuds! Wafungeni Chelsea!!!
 
leo ni kipigo cha mmbwa koko tu! i wish man utd wangetoka droooo
Waswahili husema "avumae baharini papa, kumbe wengi wapo". Msimu huu nasi tumo, hatujikongoji bali tumo!.
 
Back
Top Bottom