Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Leo tunafia uwanjani mkuu spurs lazima tuchukue hili kombe kwa mara ya kwanza kabisaNimeona pale kwa pain killer mkuu,hasa alivyopanic
Kila la kheri mkuu. Ila kweli hapa ndio pa kufia uwanjani. Kombe kabisa hili hapa unaliona halafu anadokoa mwenzioLeo tunafia uwanjani mkuu spurs lazima tuchukue hili kombe kwa mara ya kwanza kabisa
Kama lipo upande wa liverpool bas tunalifuata huko huko, aliye juu mfuate juu
Kila la kheri mkuu. Ila kweli hapa ndio pa kufia uwanjani. Kombe kabisa hili hapa unaliona halafu anadokoa mwenzio
Je mashetani wa Spurs wanao uwezo wa kuwashambulia Liverpool?
Sitaki kuwa mtabiri Arsenal imenifunza kitu
Hahahaha wewe ni noma nimecheka sana!!!Itashinda Liverpool au Tottenham
Man mwenzangu mimi nimejikuta nawaonea huruma zaidi Spurs maskini kocha wao natamani japo ashinde tu.Mimi ni shabiki wa Man Utd ila leo nitaiombea mema Liverpool, nimetokea kuwaonea huruma jinsi wanavyopambana halafu wanakosa makombe, kupoteza fainali 2 mfululizo za Uefa itakuwa jambo la kusikitisha sana kama ilivyowahi kutokea kwa Juve. Utabiri wangu watashinda 2-0
Man mwenzangu mimi nimejikuta nawaonea huruma zaidi Spurs maskini kocha wao natamani japo ashinde tu.
Je mashetani wa Spurs wanao uwezo wa kuwashambulia Liverpool?
Sitaki kuwa mtabiri Arsenal imenifunza kitu
😂😂😂😂mkuu jamaa akikujibu unijuzeHao wazuri walikuwa wapi kuingia fainali?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu jamaa akikujibu unijuze
Tunaanzaa kuhesabuuu
Liverpool 1-0 Spurs