Touched: Bradley aomba afie mikononi mwa Defoe

We jamaa ni wapi nimeonesha chuki na wazungu, mie siko tayari kushabikia mambo yao ya kijinga. Hiyo picha ina tafsri nyingi kwa kila aitazamae
Na iwe kama usemavyo.
 
Wewe muongo kupindukia mpaka mimi mwenye upeo finyu nimekung'amua.
mbona hudai evidence unabwabwaja tu,najua hata nikikupa huo ushahidi huwezi kusoma wala kufuatilia nini kinaendelea ulimwengu wa afya,fuatilia mara ngapi waamerika wameandamana kupinga matibabu ya kansa kwa njia ya mionzi? Mara ngapi watu wamepinga uuzwaji wa viwatilifu vyenye madhara katika afya za binadamu? umezoea kubishania kwenye vijiwe vya kahawa,mtu akibisha sana anaokunywa kahawa kama ushahidi wa anachobishania,unajua madhara ya mtu anayetibiwa kwa kuchomwa mionzi? kama hujui kitu usibishe na wala usisubiri watu wafikirie kwa ajili yako,jifunze kufikiria mwenyewe juu ya unachoambiwa na kusikia
 
Anayebwabwaja mimi au wewe? Hapo juu ndio umeandika nini sasa? Mionzi inahusiana vipi na ulichokiongea? Nidai evidence gani kwa kitu ambacho sio cha kweli? Kama unataka kunipa evidence ni juu yako.
 
MKUU WEKA SAWA HUU UZI WAKO HUYU MTOTO HAJAOMBA KUFIA KWENYE MIKONO YA DEFOE WALA NINI, MIMI HUWA NAFATILIA SANA HABARI ZAKE ISHU IPO HIVI SIKU HUYU DOGO NI SHABIKI NAMBA MOJA WA SUNDERLAND SIKU YA IJUMAA TIMU NZIMA ILIENDA KUMUONA HOSPITAL NA BAADA YA KUPIGA NAYE STORY MBILI TATU NDIPO WAKAWA WANATAKA KUONDOKA DOGO AKANG'ANG'ANIA DEFOE ABAKIE ILI ALALE KIFUANI MWAKE, SO DEFOE AKABAKIA KAMA HIVYO KWENYE PICHA DOGO AKALALA THEN ALIPITIWA NA USINGIZI AKASEPA ZAKE
 
Bado anadunda. Naomba kujua Defoe haendi mazoezini wala mechi kwa wakati huu!
Aliomba kulala kifuani Mwa Defoe wakat wameenda kumcheki hospital na aliomba kulala na sio kufia kifuani mwake
 
Bradley,laiti ungejua naumia kiasi gani juu yako,MUNGU angekunusuru tu,pia nimefurahishwa sana na Sunderland FC,nawakaribisha Tanzania
Usikute hata alivyoumwa Bibi yako huko Mpwapwike mpaka kufariki hukuumia Kama unavyoumia kwa huyo mtoto wa. Kizungu.
 
Anayebwabwaja mimi au wewe? Hapo juu ndio umeandika nini sasa? Mionzi inahusiana vipi na ulichokiongea? Nidai evidence gani kwa kitu ambacho sio cha kweli? Kama unataka kunipa evidence ni juu yako.
Basi mkuu isiwe ligi ila ulimwengu una mengi sana na sio kila kitu unakijua wewe,
 
Hapana alisema naomba Defoe abaki hapa mpka nitakapolala,,,nae Defoe hakuona noma akajilaza dogo alipolala usingizi Defoe akasepa,,,ila sio kwamba alisema akifa Defoe awepo nop nop
Bifu na mleta mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…