magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Na iwe kama usemavyo.We jamaa ni wapi nimeonesha chuki na wazungu, mie siko tayari kushabikia mambo yao ya kijinga. Hiyo picha ina tafsri nyingi kwa kila aitazamae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na iwe kama usemavyo.We jamaa ni wapi nimeonesha chuki na wazungu, mie siko tayari kushabikia mambo yao ya kijinga. Hiyo picha ina tafsri nyingi kwa kila aitazamae
ndo hilo lengo mkuuSasa hutashangaa dogo hafi kesho wala kesho kutwa husishangae ni tangazo la kansa kwa ile hospital ili watu waende kwao
ndo upeo wako umegotea hapo,kwa nini usikubali tu kua naona upeo wa pale ambapo pua yangu inaishiaAcha uongo wewe!
Bado haihalalishi kusema uongo!ndo upeo wako umegotea hapo,kwa nini usikubali tu kua naona upeo wa pale ambapo pua yangu inaishia
sasa unasemaje ni uongo kama upeo wako ni finyu?Bado haihalalishi kusema uongo!
sawa mkuu,tuendelee kuamini hivyo ila tiba na uchawi ni vitu viwili mashariki na magharibiKarumanzira Work.
Wewe muongo kupindukia mpaka mimi mwenye upeo finyu nimekung'amua.sasa unasemaje ni uongo kama upeo wako ni finyu?
mbona hudai evidence unabwabwaja tu,najua hata nikikupa huo ushahidi huwezi kusoma wala kufuatilia nini kinaendelea ulimwengu wa afya,fuatilia mara ngapi waamerika wameandamana kupinga matibabu ya kansa kwa njia ya mionzi? Mara ngapi watu wamepinga uuzwaji wa viwatilifu vyenye madhara katika afya za binadamu? umezoea kubishania kwenye vijiwe vya kahawa,mtu akibisha sana anaokunywa kahawa kama ushahidi wa anachobishania,unajua madhara ya mtu anayetibiwa kwa kuchomwa mionzi? kama hujui kitu usibishe na wala usisubiri watu wafikirie kwa ajili yako,jifunze kufikiria mwenyewe juu ya unachoambiwa na kusikiaWewe muongo kupindukia mpaka mimi mwenye upeo finyu nimekung'amua.
Anayebwabwaja mimi au wewe? Hapo juu ndio umeandika nini sasa? Mionzi inahusiana vipi na ulichokiongea? Nidai evidence gani kwa kitu ambacho sio cha kweli? Kama unataka kunipa evidence ni juu yako.mbona hudai evidence unabwabwaja tu,najua hata nikikupa huo ushahidi huwezi kusoma wala kufuatilia nini kinaendelea ulimwengu wa afya,fuatilia mara ngapi waamerika wameandamana kupinga matibabu ya kansa kwa njia ya mionzi? Mara ngapi watu wamepinga uuzwaji wa viwatilifu vyenye madhara katika afya za binadamu? umezoea kubishania kwenye vijiwe vya kahawa,mtu akibisha sana anaokunywa kahawa kama ushahidi wa anachobishania,unajua madhara ya mtu anayetibiwa kwa kuchomwa mionzi? kama hujui kitu usibishe na wala usisubiri watu wafikirie kwa ajili yako,jifunze kufikiria mwenyewe juu ya unachoambiwa na kusikia
Mwandishi wa vitabu hivyo ni nani?sawa mkuu,tuendelee kuamini hivyo ila tiba na uchawi ni vitu viwili mashariki na magharibi
Aliomba kulala kifuani Mwa Defoe wakat wameenda kumcheki hospital na aliomba kulala na sio kufia kifuani mwakeBado anadunda. Naomba kujua Defoe haendi mazoezini wala mechi kwa wakati huu!
Usikute hata alivyoumwa Bibi yako huko Mpwapwike mpaka kufariki hukuumia Kama unavyoumia kwa huyo mtoto wa. Kizungu.Bradley,laiti ungejua naumia kiasi gani juu yako,MUNGU angekunusuru tu,pia nimefurahishwa sana na Sunderland FC,nawakaribisha Tanzania
Basi mkuu isiwe ligi ila ulimwengu una mengi sana na sio kila kitu unakijua wewe,Anayebwabwaja mimi au wewe? Hapo juu ndio umeandika nini sasa? Mionzi inahusiana vipi na ulichokiongea? Nidai evidence gani kwa kitu ambacho sio cha kweli? Kama unataka kunipa evidence ni juu yako.
Bifu na mleta madaHapana alisema naomba Defoe abaki hapa mpka nitakapolala,,,nae Defoe hakuona noma akajilaza dogo alipolala usingizi Defoe akasepa,,,ila sio kwamba alisema akifa Defoe awepo nop nop