Touching Motivational speeches ever ( Compilations)....!!

Touching Motivational speeches ever ( Compilations)....!!

Wacha kuweka mi kopi na pesti ya Kingereza isiyo na mpango, tafsiri kwa Kiswahili ili tuelewe kama kweli umeelewa unachokibandika hapa, maana kwingine humo siioni "motivation" yake iko wapi?

Kwao ni kiki kwa lugha ya mkoloni ku kopi n pesti aonekane yupo minal faidhin
 
Enyi kizazi cha chapati za maji na kuku wa kupaka, ni nani aliye waloga na kuwaambia kiswahili ni lugha rahisi kama kumsukuma mlevi?
Amini amini nawaambia ni rahisi sana Carson kua mbumbumbu kuliko asiyekubali kosa kua mwerevu.
 
Back
Top Bottom