Bila shuka
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 596
- 294
Wacha kuweka mi kopi na pesti ya Kingereza isiyo na mpango, tafsiri kwa Kiswahili ili tuelewe kama kweli umeelewa unachokibandika hapa, maana kwingine humo siioni "motivation" yake iko wapi?
Kwao ni kiki kwa lugha ya mkoloni ku kopi n pesti aonekane yupo minal faidhin