Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 649
- 547
- Thread starter
-
- #41
nikiwa na water pump mkuu itanigarim kiasi gani cha ziada ili kukamilish kilimo hicho
Km una water pump ina maana una kisima si ndio? Gharama ya ziada tu itakuwa sehemu ya kuhifadhia maji. Matanki yatahitajika

Habari za asubuhi.
Kwa wale waliotaka angalau kuona kwa ufupi shamba langu la greenhouse ambalo nimelima nyanya ndani ya greenhouse na nje pia yaani bila greenhouse ila kwa kutumia formula maalumu ya kitaalamu ya kutumia gharama kidogo ila mavuno mengi na makubwa wanaweza ku click hiyo video hapo chini na kuangalia.
0758 308193
ndio ninakisima je cntaweza kuyapandish shambani moja kwa moja mkuu bila matank ya kuhifadhia
Unaweza pandisha moja kwa moja shambani ukipata mafunzo yangu utaona jinsi wanavyopandisha maji
Tafadhali nifahamishe ni waterpump ya hp ngapi inayofaa kusukuma maji ya inchi moja na itazungusha sprinkler ngapi?
Mkuu....Biashara2000 ...nashkur sana kwa kutufumbua macho ..ila nilikua nataka kuuliza mbegu aina gani ambayo unatumia
nashukuru
Kisima chako kina urefu gani
mche mmoja unahitaji maji kiasi gani