Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

Jana nilikuwa na maongezi na baadhi ya wana jf walionipigia simu kwa ajili ya mazungumzo na wengine niliokutana nao katika vikao flani. Tulikuwa tunaongelea ni kwa nini vijana wengi wanashindwa kuchukua fursa zilizopo za kujipatia kipato mfano kilimo na kadhalika.

Ikaonekana kuwa vijana wengi wanapenda kazi rahisi rahisi. Na kazi hizo ikagundulika kuwa ndizo ambazo hazilipi haraka. Na kazi hizo ni za ofisini. Ila kazi zinazochukuliwa kuwa ni ngumu ndizo zinalipa big time mfano kilimo, madini, ufugaji, nk.

Tumegundua kuwa kinachowakwaza watu ni uoga. Uoga wa kuamua kujihusisha na shughuli hizi ili kupata pesa. Lakini watu wenye pesa kwa sasa ni hao wakulima wachimba madini nk. Hivyo tusiogope kujaribu. Hupotezi kitu zaidi ni mwezi tu mfano ukilima matango unatoka
 
Sasa Hizo za Kariakoo ni Fake Mkuu au ?
Sasa huko kibaha kuna mashamba yakukodi mkuu?
Ulicho kieleza hapo juu kina ukweli ila kuanza kilimo kunahitaji gharama kubwa hasa kama hauna eneo.
 
Watu wengi kwa sasa wameingia kwenye kilimo na wamepata mafanikio waluyokuwa wanataka. Ni kirahisi km ukifuata masharti. Ila wanaoogopa kuingia krk kilimo ni watu wsnaopenda kazi rahisi na km magufuli alivyosema wasiopenda kujishughulisha ndio huwa wanabaki nyuma. Hivyo ktk dunia hata wewe mwenyewe angalia mtaani kwako waliofanikiwa angalia vizuri ni watu wachapakazi na wasioogopa kushindwa






Sasa huko kibaha kuna mashamba yakukodi mkuu?
Ulicho kieleza hapo juu kina ukweli ila kuanza kilimo kunahitaji gharama kubwa hasa kama hauna eneo.
 
Sasa huko kibaha kuna mashamba yakukodi mkuu?
Ulicho kieleza hapo juu kina ukweli ila kuanza kilimo kunahitaji gharama kubwa hasa kama hauna eneo.

Km huna eneo kodi. Si lazima uwe na eneo lako
 
Vipi mkuu Biashara2000 riski zilizopo katika hicho kilimo, I mean na changamoto zilizopo na ulizowahi kutana nazo.
By the way asante sana kwa kutufumbua macho heshima yako mkuu.
Naisubiri hio tarehe 6 march.
 
Inategemea na mahali. Na muda wa kulima utakaotumia.


Kwa uzoefu wako naweza pata eneo la kukodi huko? If yes kwa eka moja kukodi shilingi ngapi maeneo ya kibaha.
Na nia ya dhati yakuchakaria.
 
Vipi mkuu Biashara2000 riski zilizopo katika hicho kilimo, I mean na changamoto zilizopo na ulizowahi kutana nazo.
By the way asante sana kwa kutufumbua macho heshima yako mkuu.
Naisubiri hio tarehe 6 march.
Kwa mtu anayelima kilimo cha kubahatisha challenge huwa ni magonjwa na wadudu. Wanahanfaika sana na madawa. Wanaweza piga dawa zaidi ya 15 wakati wangejua wangetumia dawa 3 tu. So changamoto kwa wakulima ni elimu ambapo hufanya kilimo chao k8gumu. Na hiyo ndio challenge iliyonisumbua mwanzoni. Ila sasa kilimo changu sio usumbufu tena
 
OK mkuu biashara2000 nashukuru nimekuelewa. Niko nasubiria hio tarehe hapo kwa hamu kubwa.
 
Mkuu [HASHTAG]#Biashara2000[/HASHTAG] nimeku pm lakini sijapata majibu. Niko serious na hili jambo nataka kufanya Greenhouse farming ya nyanya. Naomba niambie jinsi gani nikupate tuzungumze vizuri, nahitaji sana ushauri wa kina kabla sijaingia mazima.
 
Ili kuzuia watu wasitapeliwe mbegu, watu wengi wamekuwa wakiuliza hiyo monalifa f1 inafananaje ili wasitapeliwe wanapoenda kununua? Nunua mbegu inayofanana hv

 
Shukran mkuu, qa nondo hizi kale kaajira kangu nakaacha
 
Za jioni. Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu semina imetoka kuwa tarehe 6 hadi 7. So hakijaharibika kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…