Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 649
- 547
- Thread starter
- #141
Jana nilikuwa na maongezi na baadhi ya wana jf walionipigia simu kwa ajili ya mazungumzo na wengine niliokutana nao katika vikao flani. Tulikuwa tunaongelea ni kwa nini vijana wengi wanashindwa kuchukua fursa zilizopo za kujipatia kipato mfano kilimo na kadhalika.
Ikaonekana kuwa vijana wengi wanapenda kazi rahisi rahisi. Na kazi hizo ikagundulika kuwa ndizo ambazo hazilipi haraka. Na kazi hizo ni za ofisini. Ila kazi zinazochukuliwa kuwa ni ngumu ndizo zinalipa big time mfano kilimo, madini, ufugaji, nk.
Tumegundua kuwa kinachowakwaza watu ni uoga. Uoga wa kuamua kujihusisha na shughuli hizi ili kupata pesa. Lakini watu wenye pesa kwa sasa ni hao wakulima wachimba madini nk. Hivyo tusiogope kujaribu. Hupotezi kitu zaidi ni mwezi tu mfano ukilima matango unatoka