BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Hilo la kupangiwa kiasi cha Tip liko sawa? Ndo mfumo wa Dunia nzima?Kwa taarifa yako guide hajipangii tip(mboneka).toka mgeni ametoka huko kwao ameshapewa list yote ya malipo kwaajili ya guides au watu wa kupanda milimani!!..labda uniambie tabia ya kuomba vitu vidogo vingine kama viatu,saa au material zingine....
Kuhusu huduma mbovu kiukweli inalingana na bajet ya mgeni mwenyewe..
Wageni wanapenda ku bagein sana!utoe ela ya kifala utegemee kupewa five star service ushaona wapi
Ya wanalalamika sana, na kuwadanganya hadi kwamba mara wanasomesha yatima, mara wana saidia wajane mara sijui watoto wa kike yaani fixi nyingi hii inachukiza sana wataliiMadereve na Tour guides wengi kutumia Tabia hiyo na hulka ya kujishusha ati tajiri yao hatoi mshahara mzuri, pia kulalamika shida ati familia sikuwachia posho nyumbani.... Watalii huona ni kero,adha na huchafua siku yao na kitu ambacho hakiwahusu... !!
Taswira nzima ya vivutivo vetu hupondeka na kuharika!!
Kunagaine kuko Dunia nzima, wao wanacho lalamika ni kuombwa pesa, na kupangia kiwango cha kutoa tipKwa taarifa yako guide hajipangii tip(mboneka).toka mgeni ametoka huko kwao ameshapewa list yote ya malipo kwaajili ya guides au watu wa kupanda milimani!!..labda uniambie tabia ya kuomba vitu vidogo vingine kama viatu,saa au material zingine....
Kuhusu huduma mbovu kiukweli inalingana na bajet ya mgeni mwenyewe..
Wageni wanapenda ku bagein sana!utoe ela ya kifala utegemee kupewa five star service ushaona wapi
Ofcoz ndio maana kuna TRIP ADVISOR!!wageni wengi hufanya booking ya safari zao kwa AGENT alieopo huko!!hufanya malipo yote huko huko isipokuwa tip ya kuwapa guides ndio huibeba..hapo kwa agent ndio hupewa mfumo wote wa malipo ya guides in details....Hilo la kupangiwa kiasi cha Tip liko sawa? Ndo mfumo wa Dunia nzima?
Umesoma bandiko zima? Sababu katoa nyingi ikiwemo tozo, rudia kusomaHuyo mama kakupa sababu nyingi za watalii kutotaka kurejea nchini lkn wewe umeamua kwa sababu zako binafsi kuja na hio moja tu! Mbona bar ombaomba kibao lakini bado tunarudi kila siku kunywa, mtu akiombwa pesa ana option ya kutaa au kukubali hawalazimishwi na mtu.
Lakini vipi kuhusu baa kupandisha bei kuliko baa za jirani au duka jirani, wateja watarudi tena kweli? Tatizo kuu ni tozo kubwa sana ingawa hutaki kuliona hilo. Tanzania ni destination ghali kuliko zote east africa, ni ghali tangu visa mpaka fees za hifadhini
Ni bora mgeni aende Kenya au uganda au zambia atamwona simba yule yule na atarudi na change mfukoni kuliko hili balaa la kodi zitakazomkabili pindi atakapoweka mguu wake nchini!
Tumemfanya mtalii ni al shabab, hatakiwi nchini kwetu na silaha uetu kuu against yeye ni kodi kuubwa.
Taarifa ndio hiyo sio sababu ya ombaomba
Nimesoma lote, na mimi ni mdau ndio nakwambia tozo ndio tatizo mgeni anaangalia destination nafuu ili aweze kwenda na mwakani tena! Tanzania ni ghali sana na sababu ni hiyo ombaomba wamejaa dunia nzima. Tozo kubwa ndio laana ya utalii wetuUmesoma bandiko zima? Sababu katoa nyingi ikiwemo tozo, rudia kusoma
Na Wasije.....yaan nishindwe kwendaa mahal kisa kuna maskin mtu 1 ataniomba hela..haingii akilin
Tip ni lazima? Shida iko hapa je ni lazima tip?Nimefanya kazi ya utalii,bro professional tour guide haombi hombii mkuu,kila kitu Kiko kwenye website plus amount ya day unayo mlipa guide wako.ukipendezwa zaidi unatoa zaidi.mataifa yenye njaa njaaa kama Germans,France, Italy na Spain wageni wake huwa niwagumu Sana kwenye tip trust me.taifa kubwa marekani au muingereza ukifanya nae kazi tip mlima.mradi apende service
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
İshu ni kwamba tour oparater wanawaachia majumu ya kulipa mishaha watalii kupitia tipTour Operators nao walipe vizuri I don't condone ambacho wanafanya ila Tour Guides hawana mishahara kabisa na wanalipwa kutokana na kazi.