Tour Guide kuomba Watalii pesa ni moja ya sababu watalii hawataki kurudi Tanzania?

Wanaorudi ni wachache maana kuna sehemu nyingi za kutalii, hivyo lengo la alichofuata likishatimia hana haja ya kurudi tena. Kuhusu kuombwa pesa ni juu ya mgeni na guide wake mbali na stahiki zinazotakiwa
 
Hio tabia ya kupinga mizinga imeanza lini mbona kabla ya awamu ya tano walikuwa wakija
 
Mtu ashatalii anarudi kufanya nn tena hali ashamaliza lengo,si anaenda nchi nyingine.
Shida labda tozo na kodi kubwa ndo key points.
Wanasema gharama za kutalii tza wiki moja ukienda Morroco utalii mwezi KILA kitu bei juu huku.
Ukienda feri to znz,au mbugani au hotelini kuna bei ya mwenyeji na mgeni ulipa tofauti kwa huduma moja.
Utofauti wa bei huu ni ubaguzi hata mm naupinga mbona tukienda kwao hawana bei mbili.
 
Nimefanya kazi ya utalii,bro professional tour guide haombi hombii mkuu,kila kitu Kiko kwenye website plus amount ya day unayo mlipa guide wako.ukipendezwa zaidi unatoa zaidi.mataifa yenye njaa njaaa kama Germans,France, Italy na Spain wageni wake huwa niwagumu Sana kwenye tip trust me.taifa kubwa marekani au muingereza ukifanya nae kazi tip mlima.mradi apende service

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Wewe umesema ukweli japo pengine hukukusudia. Tatizo la kuomba lipo sana na ni kero! Hili wala msibishe hata kidogo. Bongo wana tabia ya kudhani wazungu fedha zao wanaokota hivyo wanapotowa hawana hasara yoyote.
 
Mi nakumbuka wakati nimeenda kupanda mlima Kilimanjaro tulienda na wajerumani wawili Sasa hiyo kampuni ikanipa pota, huyo pota akagoma akamtaka mjerumani Basi tukapanda mlima bahati nzuri wote tukafika kileleni salama siku ya kuagana nikampa Yule pota wangu number anicheki wale wengine walipewa tip za Dola 100 ila Yule jamaa saiv yuko huko ujerumani anasoma kwa sponsorship yangu kwaio hio story inaweza kua na ka ukweli Fulani hasa guide wa mlima Kilimanjaro wanaomba Sana pesa
 
Wanaorudi ni wachache maana kuna sehemu nyingi za kutalii, hivyo lengo la alichofuata likishatimia hana haja ya kurudi tena. Kuhusu kuombwa pesa ni juu ya mgeni na guide wake mbali na stahiki zinazotakiwa
Hahaa kuna nchi huru hata mara 5
 
Mtu ashatalii anarudi kufanya nn tena hali ashamaliza lengo,si anaenda nchi nyingine.
Shida labda tozo na kodi kubwa ndo key points.
Wanasema gharama za kutalii tza wiki moja ukienda Morroco utalii mwezi KILA kitu bei juu huku.
Ukienda feri to znz,au mbugani au hotelini kuna bei ya mwenyeji na mgeni ulipa tofauti kwa huduma moja.
Utofauti wa bei huu ni ubaguzi hata mm naupinga mbona tukienda kwao hawana bei mbili.
Aisee kuna nchi kama Moroco au Egypt watalii hurudi hata mara 5, nazani hujui haya mambo
 
Ukijaribu kuangalia triend ya Utalii hata Africa utagundua tunazidiwa hata na Botswana, achilia nchi kama South Africa au Moroco inayo Ongoza.

Kuna Mama mmoja wa Kizungu anaishi Arusha na kaolewa na Mbongo mmoja hivi, sasa kuna kazi alinipa nyumbani kwake, na wakati nafanya nikaona
Mimi niko Arusha, nina watu nafahamiana nao wako katika tourism industry, UKWELI 💯%
 
Kuna Mtandao mmoja usha wahi kuandika hii ishu ya Tour Guide wa Bongo kuwa Omba omba kwa watalii na kulazimisha tip
 
Ofcoz ndio maana kuna TRIP ADVISOR!!wageni wengi hufanya booking ya safari zao kwa AGENT alieopo huko!!hufanya malipo yote huko huko isipokuwa tip ya kuwapa guides ndio huibeba..hapo kwa agent ndio hupewa mfumo wote wa malipo ya guides in details....
Kampuni ambayo ita provide kuanzia hotel na transport huja kulipwa na huyo agent baadae sana!!.muda mwingine agent analala mbele na pesa zako.
Kuna wageni huwa hawatoi tip hao huwa wana fanya makosa?
 
Nimefanya kazi ya utalii,bro professional tour guide haombi hombii mkuu,kila kitu Kiko kwenye website plus amount ya day unayo mlipa guide wako.ukipendezwa zaidi unatoa zaidi.mataifa yenye njaa njaaa kama Germans,France, Italy na Spain wageni wake huwa niwagumu Sana kwenye tip trust me.taifa kubwa marekani au muingereza ukifanya nae kazi tip mlima.mradi apende service

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Swala la kuhakikisha masilaho ya Tour Guide ni ya Mtalii au Mmiliki wa kampuni?

Tip ni zawadi na na kuna wageni huwa hawatoi kwanza, Hii ishu isha wahi andikwa huko mbele
 
Ukijaribu kuangalia triend ya Utalii hata Africa utagundua tunazidiwa hata na Botswana, achilia nchi kama South Africa au Moroco inayo Ongoza.

Kuna Mama mmoja wa Kizungu anaishi Arusha na kaolewa na Mbongo mmoja hivi, sasa kuna kazi alinipa nyumbani kwake, na wakati nafanya nikaona
Unakuta mzungu akadunduliza miaka mitano afu unamfosi tip
 
Unakuja kwa ajili ya mapumziko baada ya kufanya kazi miezi 11 na corona juu. Uko mapumziko halafu mtu usiyemjua kabisa anataka umtatulie matatizo yake ya kifedha. Tena huyo mtu kaajiriwa na Tour Company! Ujinga gani. Maana ya mapumziko ni nini sasa?
Ukijaribu kuangalia triend ya Utalii hata Africa utagundua tunazidiwa hata na Botswana, achilia nchi kama South Africa au Moroco inayo Ongoza.

Kuna Mama mmoja wa Kizungu anaishi Arusha na kaolewa na Mbongo mmoja hivi, sasa kuna kazi alinipa nyumbani kwake, na wakati nafanya nikaona Gari za Utalii za kwake Zimepaki ni ana kampuni ndogo ya kitalii.
 
Mkuu Mimi sio Mtalii ila ni Mnywaji, nachukia sana muhudumu anayelazimisha nimnunulie Pombe au badala anipe chenchi yangu yeye anajikausha nayo kwa kudhani nimelewa sikumbuki.. au mwengine anakwambia kabisa chenchi nanunua pombe yangu.. Aiseeee... Nikienda hiyo Bar ikajirudia mara 3 basi nakata mguu kabisa.!

Muache mtu atoe mwenyewe kwa roho yake, utapata mengi zaidi ya hivyo vya kuomba.
Du mfano mzuri sana.
 
Ukijaribu kuangalia triend ya Utalii hata Africa utagundua tunazidiwa hata na Botswana, achilia nchi kama South Africa au Moroco inayo Ongoza.

Kuna Mama mmoja wa Kizungu anaishi Arusha na kaolewa na Mbongo mmoja hivi, sasa kuna kazi alinipa nyumbani kwake, na wakati nafanya nikaona

CORONA ikiisha rudi ukaangalie kama utakuta mama bado amepak magari yake yanayofanya kazi za Utalii

Swala la kuomba pesa kwa mgeni likapelekea wageni kutokuja TZ siyo kweli

Kuhusu huduma mbovu inategemea mgeni alienda Campany gani akapewa huduma mbovu
Kama yeye ana huduma nzuri mbona wageni wake hawarudi?

Swala la Tozo kwa wageni ni kweli TZ mgeni analipa vitu vingi kwa bei kuwa yani kodi ni kubwa

Kipindi hichi cha ugonjwa wa Corona biashara ya UTALII imepata changamoto sana kwa hiyo hii ni sababu KWABWA KWA NINI UTALII UMEDORORA TZ japo kwa sasa wanakuja kuja Zenji wapo wengi na hao wa Zenji wakija bara wengi wanakuja na ndege wachache wanatumia magari

Muhimu
MUNGU ALIYETUUMBA ATUREHEMU NA KITUSAMEHE MAKOSA YETU NA KUTUONDOLEA UGONJWA WA CORONA
Amen.
 
Mi nakumbuka wakati nimeenda kupanda mlima Kilimanjaro tulienda na wajerumani wawili Sasa hiyo kampuni ikanipa pota, huyo pota akagoma akamtaka mjerumani Basi tukapanda mlima bahati nzuri wote tukafika kileleni salama siku ya kuagana nikampa Yule pota wangu number anicheki wale wengine walipewa tip za Dola 100 ila Yule jamaa saiv yuko huko ujerumani anasoma kwa sponsorship yangu kwaio hio story inaweza kua na ka ukweli Fulani hasa guide wa mlima Kilimanjaro wanaomba Sana pesa
Umepiga kwenye mshono mkuu
Kilinitokea pale mkunazini getini kanisani namaliza kupewa entrance ticket naitiwa mtu wa kunielekeza wote wananiangalia tu
Udzungwa case yake ni tip ya kunipandisha mlimani wakati gharama zote nimelipa ofisini😃
Nadhani hii mentality inafaa tujifunze hakuna free lunch utakuta mtu ni tour operator kafungua na kituo cha watoto yatima cha mfukoni ili akiwanasa Watasha aanze kuwaonesha picha za innocents kwenye gari
 
Back
Top Bottom