Tip nilazima boss.....kila kampuni inamipangilio na kiasi Cha tip kwa kila tour guide either iwe wa mlima plus Potter na wa safari.hii ipoTip ni lazima? Shida iko hapa je ni lazima tip?
Wewe umesema ukweli japo pengine hukukusudia. Tatizo la kuomba lipo sana na ni kero! Hili wala msibishe hata kidogo. Bongo wana tabia ya kudhani wazungu fedha zao wanaokota hivyo wanapotowa hawana hasara yoyote.Nimefanya kazi ya utalii,bro professional tour guide haombi hombii mkuu,kila kitu Kiko kwenye website plus amount ya day unayo mlipa guide wako.ukipendezwa zaidi unatoa zaidi.mataifa yenye njaa njaaa kama Germans,France, Italy na Spain wageni wake huwa niwagumu Sana kwenye tip trust me.taifa kubwa marekani au muingereza ukifanya nae kazi tip mlima.mradi apende service
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Exactly wawalipe vizuri before ya kulalamikia guidesİshu ni kwamba tour oparater wanawaachia majumu ya kulipa mishaha watalii kupitia tip
Hahaa kuna nchi huru hata mara 5Wanaorudi ni wachache maana kuna sehemu nyingi za kutalii, hivyo lengo la alichofuata likishatimia hana haja ya kurudi tena. Kuhusu kuombwa pesa ni juu ya mgeni na guide wake mbali na stahiki zinazotakiwa
Aisee kuna nchi kama Moroco au Egypt watalii hurudi hata mara 5, nazani hujui haya mamboMtu ashatalii anarudi kufanya nn tena hali ashamaliza lengo,si anaenda nchi nyingine.
Shida labda tozo na kodi kubwa ndo key points.
Wanasema gharama za kutalii tza wiki moja ukienda Morroco utalii mwezi KILA kitu bei juu huku.
Ukienda feri to znz,au mbugani au hotelini kuna bei ya mwenyeji na mgeni ulipa tofauti kwa huduma moja.
Utofauti wa bei huu ni ubaguzi hata mm naupinga mbona tukienda kwao hawana bei mbili.
Zambia na Zimbabwe gharama zao sio kubwa sana kurudi unaweza kurudi tuu...Aisee kuna nchi kama Moroco au Egypt watalii hurudi hata mara 5, nazani hujui haya mambo
Mimi niko Arusha, nina watu nafahamiana nao wako katika tourism industry, UKWELI šÆ%Ukijaribu kuangalia triend ya Utalii hata Africa utagundua tunazidiwa hata na Botswana, achilia nchi kama South Africa au Moroco inayo Ongoza.
Kuna Mama mmoja wa Kizungu anaishi Arusha na kaolewa na Mbongo mmoja hivi, sasa kuna kazi alinipa nyumbani kwake, na wakati nafanya nikaona
Kuna wageni huwa hawatoi tip hao huwa wana fanya makosa?Ofcoz ndio maana kuna TRIP ADVISOR!!wageni wengi hufanya booking ya safari zao kwa AGENT alieopo huko!!hufanya malipo yote huko huko isipokuwa tip ya kuwapa guides ndio huibeba..hapo kwa agent ndio hupewa mfumo wote wa malipo ya guides in details....
Kampuni ambayo ita provide kuanzia hotel na transport huja kulipwa na huyo agent baadae sana!!.muda mwingine agent analala mbele na pesa zako.
Swala la kuhakikisha masilaho ya Tour Guide ni ya Mtalii au Mmiliki wa kampuni?Nimefanya kazi ya utalii,bro professional tour guide haombi hombii mkuu,kila kitu Kiko kwenye website plus amount ya day unayo mlipa guide wako.ukipendezwa zaidi unatoa zaidi.mataifa yenye njaa njaaa kama Germans,France, Italy na Spain wageni wake huwa niwagumu Sana kwenye tip trust me.taifa kubwa marekani au muingereza ukifanya nae kazi tip mlima.mradi apende service
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Unakuta mzungu akadunduliza miaka mitano afu unamfosi tipUkijaribu kuangalia triend ya Utalii hata Africa utagundua tunazidiwa hata na Botswana, achilia nchi kama South Africa au Moroco inayo Ongoza.
Kuna Mama mmoja wa Kizungu anaishi Arusha na kaolewa na Mbongo mmoja hivi, sasa kuna kazi alinipa nyumbani kwake, na wakati nafanya nikaona
Ukijaribu kuangalia triend ya Utalii hata Africa utagundua tunazidiwa hata na Botswana, achilia nchi kama South Africa au Moroco inayo Ongoza.
Kuna Mama mmoja wa Kizungu anaishi Arusha na kaolewa na Mbongo mmoja hivi, sasa kuna kazi alinipa nyumbani kwake, na wakati nafanya nikaona Gari za Utalii za kwake Zimepaki ni ana kampuni ndogo ya kitalii.
Du mfano mzuri sana.Mkuu Mimi sio Mtalii ila ni Mnywaji, nachukia sana muhudumu anayelazimisha nimnunulie Pombe au badala anipe chenchi yangu yeye anajikausha nayo kwa kudhani nimelewa sikumbuki.. au mwengine anakwambia kabisa chenchi nanunua pombe yangu.. Aiseeee... Nikienda hiyo Bar ikajirudia mara 3 basi nakata mguu kabisa.!
Muache mtu atoe mwenyewe kwa roho yake, utapata mengi zaidi ya hivyo vya kuomba.
Ukijaribu kuangalia triend ya Utalii hata Africa utagundua tunazidiwa hata na Botswana, achilia nchi kama South Africa au Moroco inayo Ongoza.
Kuna Mama mmoja wa Kizungu anaishi Arusha na kaolewa na Mbongo mmoja hivi, sasa kuna kazi alinipa nyumbani kwake, na wakati nafanya nikaona
Umepiga kwenye mshono mkuuMi nakumbuka wakati nimeenda kupanda mlima Kilimanjaro tulienda na wajerumani wawili Sasa hiyo kampuni ikanipa pota, huyo pota akagoma akamtaka mjerumani Basi tukapanda mlima bahati nzuri wote tukafika kileleni salama siku ya kuagana nikampa Yule pota wangu number anicheki wale wengine walipewa tip za Dola 100 ila Yule jamaa saiv yuko huko ujerumani anasoma kwa sponsorship yangu kwaio hio story inaweza kua na ka ukweli Fulani hasa guide wa mlima Kilimanjaro wanaomba Sana pesa