Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Kazi ya kuwa tour guide si tu kuonyesha maeneo – ni kuwa na uwezo wa kusimulia, kuelezea kwa usahihi na kuvutia, hadi mgeni ajione sehemu hiyo kwa moyo, si macho tu. Maarifa ya historia, utamaduni, na maisha ya watu ndio yanakufanya utofautiane na wengine.
Unapozungumza kwa ufasaha, kwa lugha inayoeleweka na yenye ladha ya mtaa kidogo, wageni wanakuheshimu na kukuamini. Wanatamani kurudi tena, si kwa mandhari tu, bali kwa namna ulivyowafanya wajisikie karibu na jamii.
Kwa wale wanaonifahamu au wanaotaka kuifahamu kazi hii kwa undani zaidi, karibuni inbox, tujuzane zaidi.
#TourGuideProfession #MaarifaNiNguvu