Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umesema Bei ya chini ni 35k , hiyo 50k inatoka wapi tena mkuuKwa bei za hoteli nilishasema kua chumba cha bei ya chini ni Elfu 50 sasa apo itabdi mchukue vyumba viwili ambavyo ni laki moja
Mzanzibar? Tukuachie familia yetu? Wewe? Famasihara nini?Nawasalimu wakubwa na wadogo zangu
Mimi ni kijana wa kitanzania Mzalendo ambae napenda kujishughulisha na kupata rizki ya halali
Kwa Ambae anatamani kuja Kutembea Zanzibar ila anapata shida mbalimbali naomba wasiliana nami utatembezwa Zanzibar kwa bei nafuu sana mm ni mwenyeji wa Zanzibar na Bara pia nimeshakaa kwaio hua nawaona watu wanavohangaika wakitaka kuja Kutembea Zanzibar
Gari zipo mbili zenye uwezo wa kubeba watu 8 kwaio hata kama una familia hakuna shida yoyote mtatembezwa sehemu nyingi tu
Pia najua Jamii forum ni sehemu ya privacy kwaio hilo nalo pia linazingatiwa sana
Ni mtu makini na muaminifu sana hata kama utaleta familia ww uendelee na kazi zako hakika familia itafurahi tu
Kwa Ambae anahitaji mawasiliano PM nitampa
Kati ya hizo mbuga 3 ulizotaja ipi nzuri yao na ipi ya pili na ya mwisho.Kwa upande wangu nishatembelea mbuga za wanyama kama
Arusha National Park
Manyara National Park
Mikumi National Park
Inshort kuna furaha yake ya Kutembea sehemu ngeni unaliwaza mwili unaipumzisha akili n.k
Mwalimuuu, hili swali lako lina maksi ngapi?Kati ya hizo mbuga 3 ulizotaja ipi nzuri yao na ipi ya pili na ya mwisho.
Elezea uzuri wake na mapungufu yake
Ninataka kwenda kwenye mbuga sasa akinipa hizo details nitajua mbuga ipi niende.Mwalimuuu, hili swali lako lina maksi ngapi?
ya kwanza lodge ya pili hotelMbona umesema Bei ya chini ni 35k , hiyo 50k inatoka wapi tena mkuu
Kati ya hizo mbuga 3 ulizotaja ipi nzuri yao na ipi ya pili na ya mwisho.
Elezea uzuri wake na mapungufu yake
Asante mkuu million ngapi kwa familia ya watu 3Hamna nzuri hapo mm ningesuggest
Serengeti
Tarangire
Ngorongoro ( Crater )
Hapo mwaga hela utapakubali
Kwa upande wa Malazi guest nzuri kwa huku bei yake ni 35k
Usafiri wa kuja Zanzibar kwa boat ni 30k kwa economy class na 65k kwa Business class na 150k kwa VIP class
Kwa usafiri wa ndege kutoka dar kuja Zenji ni 150k
Ukitaka hotel bei ya chini ni 50k inshort bei za malazi hazitofautiani sana na huko bara
Kwa upande wa chakula inategemea na ww ulaji wako ila kwa Zanzibar vyakula ni bei kidogo kulinganisha na bara bcz vyakula ni imported from Bara
Mfano kwa safari ya Nungwi from town usually ni 80k pia maelewano yapo
Ukichanganua hizo gharama hapo utaweza kujua kua unaweza kujipanga kwa kiasi gani na safari ya Zanzibar
Naunga mkono hoja!Kazi nzuri ila kwenye hoteli hizo lodge za 35k sipendekezi sana utaharibu kazi Yako.
Ungejitahidi kupata connection za watu wenye BnB wanakua na nyumba zenye Kila kitu na vyumba viwili au viratu ni Bei nafuu sana hasa Kwa wenye familia.
Pia ungetengeneza route zako ukaweka na makadirio ya gharama. Kwa mtu ambae hajafika ukimwambia anataka nini itamchanganya tu.
Weka mfano day 1 stone town, day 2 kizimkazi day 3 Nungwi au Fumba. Weka gharama za boat na malazi. Kidogo inampa picha mtu ajipange namna Gani.
Shukrani
Kuhusu gharama mkuu mbona nilishazitoaKazi nzuri ila kwenye hoteli hizo lodge za 35k sipendekezi sana utaharibu kazi Yako.
Ungejitahidi kupata connection za watu wenye BnB wanakua na nyumba zenye Kila kitu na vyumba viwili au viratu ni Bei nafuu sana hasa Kwa wenye familia.
Pia ungetengeneza route zako ukaweka na makadirio ya gharama. Kwa mtu ambae hajafika ukimwambia anataka nini itamchanganya tu.
Weka mfano day 1 stone town, day 2 kizimkazi day 3 Nungwi au Fumba. Weka gharama za boat na malazi. Kidogo inampa picha mtu ajipange namna Gani.
Shukrani
Kuhusu gharama mkuu mbona nilishazitoa
Gharama nyingi nimeshaeleza apo juu angalia vizuri tu
Ila Asante sanaa kwa ushauri wako
Mungu akubariki